Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Ccm ndio nyumbani kwa mafisadi

Alafu nashangaa sasa hao CCM Wanamnyoshea kidole kimoja "Edward lowassa" kuwa ni fisadi wakati Vidole vyao vinne vyote vinawaangalia wao wenyewe.
 
Alafu nashangaa sasa hao CCM Wanamnyoshea kidole kimoja "Edward lowassa" kuwa ni fisadi wakati Vidole vyao vinne vyote vinawaangalia wao wenyewe.

Ccm sasa hivi ndio wameshikwa kila pande hivyo kila mmoja wao anataka kukinusuru chama lkn ndio la kuvunda
 
Huyu mzee huwa amekuwa akijiita mwanachama mfu wa CCM kwa muda mrefu!!!!!!
 
Kwa hiyo kama alienda Kenya hawezi kuja TZ kuchukua kadi yake na kurudi Kenya. Mbona mindege imejaa kibao tu
Anaweza kuja kuchukuwa ila sioni mantiki yeye aache shughuli zilizompeleka aje tz achukuwe kadi halafu aende kenya. Kwani kadi zina expire?
 
............By Ben Mkapa...............
 
Mwalimu wangu UDSM karibu uwasaidie wananchi kwa uwazi wako nchi imekufurahia.
 
http://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2015/08/Dk-Lwaitama-620x308.jpg
Katika Kampeni za mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia chama cha demokrasia (CHADEMA) , Benson Kigaila. Kumeshuhidiwa na tukio la Usajili.


chama hicho kimemkabidhi kadi ya uanachama pamoja na katiba ya chama hicho, Dk. Azaveli Lwaitama ambaye amesema kujiunga kwake kutamfanya aendelee na harakati za ukombozi kwa wananchi malofa na wapumbavu.

Dk. Lwaitama ambaye ni mwalimu mkongwe katika vyuo vikuu amesema yeye tangu mwaka 1976 alikuwa ni mwanachama mfu wa CCM kutokana na kutolipia kadi yake jambo ambalo amesema ni kutokana na kuwa na chama ambacho ni cha ukandamizaji.

Akizungumzaia kuhusu rais wa UKAWA, Edward Lowassa, amesema mgombea huyo ndiye anayefaa kushika nchi kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi kwa umakini zaidi.
 
Anaweza kuja kuchukuwa ila sioni mantiki yeye aache shughuli zilizompeleka aje tz achukuwe kadi halafu aende kenya. Kwani kadi zina expire?

Umuhimu wa tukio ndio uliosababisha aache mengine kwanza
 
Alisema yeye ni mwanachama mfu wa CCM na ataanza kuwa hai siku CCM itakapoangushwa...
 
Achana nae huyo kada asiejieleea hajui ccm wapo kwa lengo gani
Km hujui ccm wapo ili ww usiendelee mbele ktk nchi hii au hujasoma ww na pia huon bas kipofu weeeeeeeeee
 
Hotel ya kebbsy bamaga si ndiyo ile ambayo mmiliki halali Ni locks ambaye kammilikisha mmilili kivuli ambaye Ni hawara yake anaeitwa Dada Kabula. Poor locks
 
Nilitamani ajiunge mapema na kupewa jimbo lakini bado anafaa sana karibu Dr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…