Mhadhiri wa Tumaini University na kada wa ccm toka inapojengwa misingi . Dr. Aazaveli Lyaytam rasmi ajiunga na chadema uwanja wa barafu dodoma. Leo Kwenye Ufunguzi wa Kampeni kwenye jimbo hilo
Nikweli kwa umma mkubwa sana kujitokeza kwenye mji huu wa Dodoma na viunga vyake
Utawadanganya Hao Hao " Wapumbavu Na Malofa " Wenzako Watakaokuamini Humu JF Na Kwa Kukuumbua Tu Juzi Huyo Huyo Mzee Lwaitama Kaja Kufanyiwa Exclusive Interview Na Media X Iliyopo Nyuma Ya Hotel Ya Kebbys Na Alipomaliza Tu Akatuaga Na Kwenda Moja Kwa Moja Airport Ambako Tokea Juzi Hiyo Hadi Hivi Leo Mzee Lwaitama Yupo Jijini Nairobi Nchini Kenya Kwa Wenyeji University Of Kenyatta Na Anarudi Jumanne au Jumatano Ijayo Na Kama Utataka Uthibitisho Nikupe Namba Yake Anayoitumia Sasa Huko Kenya Alipo Nitafute Ktk PM Nitakupa Ujiridhishe. Endelea Tu KUWATANGULIZA MAPOPOMA Wenzako Humu ILA Binafsi NIMESHAKUDHARAU KULIKOTUKUKA.
Ni yule lwaitama au! Maana jina la pili linachanganya!
tupia namba yako mkuu tukujoin whatsapp tupate picture
Hii ni habari mpya?Mhadhiri wa Tumaini University na kada wa ccm toka inapojengwa misingi . Dr. Aazaveli Lyaytam rasmi ajiunga na chadema uwanja wa barafu dodoma. Leo Kwenye Ufunguzi wa Kampeni kwenye jimbo hilo
Mhadhiri wa Tumaini University na kada wa ccm toka inapojengwa misingi . Dr. Aazaveli Lyaytam rasmi ajiunga na chadema uwanja wa barafu dodoma. Leo Kwenye Ufunguzi wa Kampeni kwenye jimbo hilo
Gentamycin kuja pande hii, mambo bado inaendelea
Yaani Dr Azavel ni mbabaishaji huyo kuliko watu wate duniani si alikuwa UDSM!!!!! Hahahaha kweli nimeaminia Chadema inachukua oil chafu!!
kama humjui huyu mzee kiwango chako cha siasa kiko chini sana, jikite zaidi kwenye threads za mapenziPiacha tafazali
Hata akienda hatuwapi nyie wezi wa Ukawa na mafisadi wenu