Waje tu. Mabingwa ndo wanasoma pale.😅 😅 😅 watakuja haters kusema sisi sio mabingwa
Pembeni kuna jangwani girls.Shule inayoongoza kwa mabifu😅
Dah chaputa kapitia hapa.daah kitambo sana 2004
1/2 nilipiga Class-EAaah kumbe master na ww azaboy
Sikupita hata na mmoja, najua hutaamini.Wake zetu❤️
Sisi tulikuwa tunawaita Ngamia
nilikuwa nawaogopa kweli, nilikuwa domo zege kinomaWake zetu❤️
Sisi tulikuwa tunawaita Ngamia
aisee, huna mke na watoto kweli😂daah kitambo sana 2004
😂 😂 😂 mwaka unaozaliwa kumbe uo eehaisee, huna mke na watoto kweli😂
daah, mmeanza unga vikojoleo mda kumbe eeh😅 😅
Nilipata mmoja jangwani, wawili Zanaki.