hahaha, wee jamaa unaua balaaKaka kama alicopy..well..sijui..lakini alifanikiwa. Maana the building ya Kariakoo is iconic kiukweli. Kuhusu utetezi wako wa lile jengo mi nadhani tukubaliane kutokubaliana. I really dont appreciate that structure...na ukichukulia potential ya ile sehemu..maana kila mgeni wa maana anyekuja mjini lazima aende mlimani city....tena likiwa ni la Architect notable hapa mjini kwetu. Sasa jengo linatofauti gani na hotel za wale wakinga wa Ubungo..kibadamo...na nyinginezo? hahaha
mkuu kale ka theory ka likes and dislikes kamekupitia pembeni?? (kidding)
narudi kwenye hoja yako sasa, kwanza hiyo ni office block, pili complex design nyingi zinakuwa na cost kubwa kwenye construction tofauti na ma'box, so huwezi jua client budget yake ilikuwajae, kama Architect E.M alivyosema, ubahili wa ma'cliant to both consultation fees na construction cost vina athiri moja kwa moja design, ila kiufupi hata ukitaka design ya nyumba inayo'inspire mtiririko wa maji au kanga inayopeperushwa na upepo architect anaweza,
mkuu nimecheka hadi nimepaliwa, hahah, sikuomba likes, nilimaanisha kuna theory ya likes and dislikes, mfano kwamba wengine wanapenda wanawake wanene wengine wembamba, wengine weupe wengine weusi, unayempenda wewe si lazima apendwe na mwingine, vivyo hivyo kwenye nyumba, mara nyingi architect ni mshauri ila anasikiliza zaidi mawazo ya client, hata hivyo client wa siku hizi anaweza hata akakujia na picha ya mfano wa kitu anachokitaka.Nimegonga kitufe cha like..sijui kama imekubali..I always thought..Like..ni mpaka uwe Facebook..and I have never registered my name in facebook!
Well..talk of ushamba wa Masanja...
Kiongozi, heshima mbele!
Yaani its like you were in my mind. Kiukweli hata sisi wananchi/clients tunachangia sana. Unakuta jamaa kajenga nyumba..unamwambia..hebu nipe ramani yako. Bottomline, anayelaumiwa ni architect. Mkuu mi naamini wewe ni Architect, ninachojaribu kupoint out hapa siyo uzuri wa jengo. Ila I am simply trying to show kwamba majengo yetu mengi yanakosa creativity. I can say human touch..yaani ukiona jengo..unasema woow.....wenyewe wanasema the woow factor.
Sasa I am sorry lakini kama hilo jengo hapo juu ni la YandP kiukweli..haliakisi hali halisi. I mean..its easy kujenga jengo dogo..lakini likawa so nice..hata mtu akiliona..anajua kabisa..somebody did his or her homework.... Mfano chukulia designer wa soko la Kariakoo (I guess in mbongo wenzetu)..halafu chukulia ule uchafu wa pale karume..the so called Machinga complex! Hivi kweli can you stand ukatetea uchafu kama ule? Aliyedisign akipita pale anajisikiaje? Hata machinga ambao hawana kisomo hawalitaka...not user friendly..nada.... Ok, clients wanachangia..lakini huoni kama Architects angejiongeza Manispaa/Jiji wangekubali? Maana vingine tusisingizie tuu..kuna watu wanapenda vitu vizuri...ila information hawana. na professionals wengi wa bongo..tumeshakuwa na kiswahili kirefu..we adore 10%.....too much visingizio.
I personally mkuu...I would love..unipe options zote..then niamue.
I repeat..tusifanye kazi kwa mazoea. As an Architect...how do you feel..mtu akisifia kazi yako..maana..unafanya kazi inayoonekana na kila mtu..so ukifanya mambo dodgy dodgy..ndo matokeo yake.
Juzi nilipita mitaa ya Kikwete kule magogoni nikaona jengo nikaambiwa alidisign jamaa anaitwa Mkony..something like that..I mean when I saw it..I could easily tell this was classy. Sasa unajenga ghorofa kama gereza la ulaya unatwambia eti ni creativity? Please..I repeat..I am no Architect..but I know one when I see one.
By the way hata huko ulaya na kwingineko watu wanajenga mpaka leo siyo majengo ya victorian era tuu. But you clearly see..innovation at work.
Naamini bongo kuna architects wazuri tuu..they still stick and value their integrity. Lakini I must admist..majengo yetu mengi..creativity ni zero! Juzi napita Millenium tower..jengo linavuja...tena maji machafu....hardly ten years limefunguliwa!!!! Ukiuliza..utaambiwa aliyejenga ndo mwenye makosa...bongo....wacha tuu...
Masanja soko la kariakoo architect ni mtanzania Abeda Amuri (R.I.P) napia nayeye ali'copy toka ufaransa kama sikosei, ngoja Safari_ni_Safari aje atuwekee na picha,
jengo la Mecon (Mcony) unalozungumzia magogoni ni lipi?
Safari_ni_Safari alishawahi kuituma sijui ni jukwaa gani, nafikiri ni desa la ufaransa.Oh sawa sikuelewa,hata mimi ni kama nimewahi kuona hiyo picha Mzee wetu aliyoigizia.