Azamtv wakala

Azamtv wakala

Nikinunua Tv nitakustua Wakala,nahitaji hiyo kitu niangalie world cup
 
mkuu mimi nakitaka king'amuzi cha AZAM lkn UFUNDI ni juu yangu! nipe gharama itakuaje?
 
Kuna uwezekano wa kutumia madish madogo kama ya zuku na dstv manake hilo dish lenu kubwa sana kama inawezekana nipm
 
Back
Top Bottom