Kennethmhaiki
Member
- Feb 21, 2013
- 64
- 37
Serikali na sheria pia zinasema channel za ndani ikiwepo azam one,azam two,azamsport hd na zingine zioneshwe bure ila mpaka sasa mwaka unaisha hawafuati sheria za nchi..
Je hii inamaana azamtv wapo juu ya sheria? Wafuate sheria zetu zilizotungwa na bunge tukufu..
Je hii inamaana azamtv wapo juu ya sheria? Wafuate sheria zetu zilizotungwa na bunge tukufu..