AzamTV App is rubbish

AzamTV App is rubbish

Nina app ya bila malipo ya kila mwezi yenye chanel azam sport HD na azam sport 2, azam one, utv na azam two, tbc, startv, zbc2, wasafi, chanel za mpira ya ulaya yote kianzia epl, laliga, sirea, bundasiliga, movie, catoon, news nk nakutumia kwa sh elf5 ni zaidi ya channel 80

Pia nina huduma ya Kukuunga na chanel za Dstv kweny simu yako za zaidi ya channel 120 hakuna malipo ya kila mwezi unalipa elf10 tu unakuwa umemaliza, nina kuunga ww kweny account yangu hivo nakutumia email na password unalog in na kuanza kura raha mwanzo mwisho.. Niko tayari kutoa maelezo hapa hapa nasio lazima uje inbox maana mimi sio taper ushahidi ni huu uzi

Acha utapeli wewe kenge hiyo ni app ya guru_observer katengeneza bure kwa ajili yetu, na dawa yako inachemka app itatoa ujumbe wa HAIUZWI sijui utaweka wapi uso wako. Tengeneza ya kwako nawewe ujivunie mbona androidcreator24.com ipo tu.
 
Mkuu nimeshaskia siiuzi na kwa bahati hakuna aliekwisha nunua hata mmoja kwaiyo kuendelea kunishambulia ni kunikosea heshima mkuu naomba msamaha wapi pengine umeona nainadi app yko kuiuza kiufupi nimesha kuelewa siiuzi aki hitaji mtu nina mpa free uwe na amani mkuu

Sasa mbona umesema unaiuza au ulikua unapima upepo 😂
 
*Kwa anaependa Kutazama tv kweny simu*

*Hii ni link ya application ya tv inayoonyesha chanel za azam tv na Dstv karubu zote na startimes buree haina malipo ya kila mwezi, ukipenda download sasa ina zaid ya channel 100 [emoji116][emoji116][emoji116]

*Free IPTV
Sasa mbona umesema unaiuza au ulikua unapima upepo [emoji23]
 
*Kwa anaependa Kutazama tv kweny simu*

*Hii ni link ya application ya tv inayoonyesha chanel za azam tv na Dstv karubu zote na startimes buree haina malipo ya kila mwezi, ukipenda download sasa ina zaid ya channel 100 [emoji116][emoji116][emoji116]

*Free IPTV

Mtengeneze na App za Apple kwa MacBook na iPhone
 
Back
Top Bottom