Azam wana haki ya kuonyesha Ligi Kuu Bara tu! TFF mlitumia kifungu gani kuwaruhusu Azam kuamua au kupanga ratiba ya Ligi Kuu?

wewe sio mtu Mpira

Hatujakataa kuiga vitu vizuri toka kwa wenzetu ila lazima tutambue jambo kuwa sio kilankotu kinawezekana kucopy.

Mechi za saa nane zina gharimu sana vilabu...hamna mashabiki kabisa. Tena bora mechi saa nane wikend...wanaweka mechi saa nane on a wikday!!!

Sawa tv rights nizake na hapa mwenye hela ndio ana mabavu but busara itumike
 
Mazingira ya hali ya hewa hayaruhusu kama mechi zinachezwa saa nane basi Simba na yanga nazo zipangiwe saa nane ratiba ilitakiwa kupangwa kuanzia ijumaa hadi jumapili na jumatano na alhamisi
 
IMG_0671.jpg

Mimi naona muda uko sawa tu mbona wenzetu wanacheza saa sita mchana

12:00 huku kwetu saa 14:00
14:00 huku kwetu saa 16:00
16:30 huku kwetu saa 18:30
19:00 huku kwetu saa 21:00
 
Yeah, nafikiri Dstv anaonesha ndondo cup ile ya clouds media.
Unafikiri?Anyway, wanarekodi wenyewe hao kina Dauda wanawapa DSTV wanarusha.Hata Ligi ya Uingereza DSTV wamenunua tu Haki za Kurusha hawarekodi wenyewe, Azam anafanya Production mwenyewe anarusha Mwenyewe na hapa ndipo Azam yuko dakika tatu mbele dhidi ya wengine endapo watataka kurusha VPL inabidi wafanye na Production pia .Labda Azam wabaki na Haki za kurekodi wawauzie wengine au kampuni hizo zingine zijipange kufanya Na production, ni jambo gumu sana
 
Saa nane shida kwa dar tanga na kwa kina namungo tu lakini kuliko baki kote ikiwezekana wataomba kucheza na masweta kwa baridi
 
Hawana hela. DSTV waliwahi taka kuonyesha Ligi ya Tanzania zamani Sana around 2011 au 2012 lakini walikuwa wanatoa hela ndogo Sana. Azam wanatoa hela zaidi. Hao Startimes ni kampuni mbovu isiyojielewa
Biashara bila ushindan inakuwa monopoly e.g Tanesco.
 
Kuna mechi uingereza huchezwa mida ya 11 kwa masaa ya hapa tz.

Utofauti ya muda kati ya tz na uingereza ni massa matatu. Kwa maana hiyo muda wa mechi hiyo kwa masaa ya uingereza ni saa 8 mchana.

Sioni tatizo lolote kwenye hili.
hali ya hewa ya uingereza si sawa na bongo
 
Iliwahi kupigwa game saa 6 Mchana
Kuna mechi uingereza huchezwa mida ya 11 kwa masaa ya hapa tz.

Utofauti ya muda kati ya tz na uingereza ni massa matatu. Kwa maana hiyo muda wa mechi hiyo kwa masaa ya uingereza ni saa 8 mchana.

Sioni tatizo lolote kwenye hili.
 
Timu zilishakubali. Wewe nani unalalamika?
Hatujakataa kuiga vitu vizuri toka kwa wenzetu ila lazima tutambue jambo kuwa sio kilankotu kinawezekana kucopy.

Mechi za saa nane zina gharimu sana vilabu...hamna mashabiki kabisa. Tena bora mechi saa nane wikend...wanaweka mechi saa nane on a wikday!!!

Sawa tv rights nizake na hapa mwenye hela ndio ana mabavu but busara itumike
 
Umemjibu vzr. Arsenal game ya kwanza EPL kaanza na FULHAM ugenini na ilipigwa Mchana wa saa 8.
Tena saa 8 ya kwetu kwao saa 6. Ni kawaida hata huko majuu TV wanapanga timing sababu ni biashara.
 
Hzo nchi za mbele financial financial zipo vizur lakn kwetu bongo tmu nyingi znafaidika kwa kiingilio cha mlangoni sasa gam znavyoanza saa nane mechi nyingi znakosa mashabiki ...... kutaka kujifananisha na mbele ni uzwazwa wakati hatuwawezi kwa kila ktu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom