Halafu sisi tuna bahati mbaya na wachezaji tunaowaacha sijui huwa tunaachana nao vibaya, Mgosi alituliza siku na Mtibwa, Salum Kanoni akikutana na Simba utafikiri anafanya majaribio ya kusajiriwa Barcelona, Mrwanda, Machaku na Edward Christopher walipokuwa polisi nao ilikuwa ni balaa sasa tumeongeza kesi nyingine ya Tambwe.