Azam VS Star times kwa Sasa!

Sasa kama Local channel hupati bure startimes kwa 106000 mpaka ulipie sh ngapi ndo unapata mkuu????
 
mkuu ukisoma maelezo yangu yanajitosheleza sana

kama unataka kile kinachotumia antena ukilipa 99,000 unapata local chanel bure kabisa muda wote
kama unataka kile kinachotumia dish ukilipia 150,000 unapata local chanel bure!
 
Ahaa kumbe Mkuuu hapo sawaa...!! Nimekusomaaaa...
 
Hakuna kitu kinaniudhi kama rimoti za hivi ving’amuzi yaani unahitaji kutumia nguvu kubwa saana.sijui kwann wanshindwa kutengeneza imara kama vya dstv!
 
Startimes Ndiyo Kwasasa Wana Hizo Huduma
Halafu Kisimbuzi Cha Antenna Oops Nilinunua Bei Nafuu Sana Kipya Ila Sasa Hivi Kinauzwa Bei Ghari Mno
 
Ni changamoto mkuu,
 
Hakuna kitu kinaniudhi kama rimoti za hivi ving’amuzi yaani unahitaji kutumia nguvu kubwa saana.sijui kwann wanshindwa kutengeneza imara kama vya dstv!
Mkuu hilo nalo ni changamoto kwa kweli ile sensor ya remote haina nguvu kabisa,Ila DSTV nawakubali Hata ubonyeshe ikiwa inaangalia wapi inareact fasta siyo hili ya Startimes ni mpaka uilekeze kwenye decoder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…