rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,854
Baada ya Dstv kufutiwa Local channels kwa kweli Sina mood nayo kabisa labda kuangalia mpira Tu...! So Ushauri jamani kati ya Star times na Azam kipi King'amuzi bora kuanzia gharama mpaka kuhimili hali mbaya za hewa??? Kipi kinaonyesha Local Channels bure??
NB: Tokana na mabadiliko waliyoleta TCRA na sheria zao kuna mabadiliko makubwa sana kwenye Ving'amuzi so Mods msiunganishe huu uzi na Uzi wa mwaka 2017 huko please...
NB: Tokana na mabadiliko waliyoleta TCRA na sheria zao kuna mabadiliko makubwa sana kwenye Ving'amuzi so Mods msiunganishe huu uzi na Uzi wa mwaka 2017 huko please...