Azam vs Simba-Mapinduzi cup 09.01.2013!

Azam vs Simba-Mapinduzi cup 09.01.2013!

Penati:
Simba:
1.Keita-GOOOOOOOOOOOOOOO
2.Haruni Chanonga-ANAKOSA.
3.Jonas Mkude-GOOOOOOOOOOOOO
4.Miraji Adam-GOOOOOOOOOOOOOO
5.Ramadhan Kiparamoto-GOOOOOOOOO
Azam:
1.Mwaikimba-GOOOOOOOOOOOOOO
2.Mau Mkami-GOOOOOOOOOOOOOOO
3.Atudo-GOOOOOOOOOOOOOOO
4.Haji Nuhu-GOOOOOOOOOOOOOO
5.Malika Ndeule-GOOOOOOOOOOOOOOO

AZAM:5
SIMBA:4.

AZAM ANAENDA FAINAL.

Nikiripoti kutoka hapa uwanja wa aman ni mimi reporter wako-CHAI CHUNGU aka MISUKOSUKO YA MAISHA aka kiboko ya warembo!

Kwa hisani ya JF!
 
Penati:
Simba:
1.Keita-GOOOOOOOOOOOOOOO
2.Haruni Chanonga-ANAKOSA.
3.Jonas Mkude-GOOOOOOOOOOOOO
4.Miraji Adam-GOOOOOOOOOOOOOO
5.Ramadhan Kiparamoto-GOOOOOOOOO
Azam:
1.Mwaikimba-GOOOOOOOOOOOOOO
2.Mau Mkami-GOOOOOOOOOOOOOOO
3.Atudo-GOOOOOOOOOOOOOOO
4.Haji Nuhu-GOOOOOOOOOOOOOO
5.Malika Ndeule-GOOOOOOOOOOOOOOO

AZAM:5
SIMBA:4.

AZAM ANAENDA FAINAL.

Nikiripoti kutoka hapa uwanja wa aman ni mimi reporter wako-CHAI CHUNGU aka MISUKOSUKO YA MAISHA aka kiboko ya warembo!

Kwa hisani ya JF!












-

Kiboko ya warembo umetishaaaaaaaa pita pale ccm au magereza ukachukue kisusio.......shukrani wangu.....tangu lini simba akala icecream....chezea chamazi wwwww
 
Safiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa . bravo bravo AZAM
Penati:
Simba:
1.Keita-GOOOOOOOOOOOOOOO
2.Haruni Chanonga-ANAKOSA.
3.Jonas Mkude-GOOOOOOOOOOOOO
4.Miraji Adam-GOOOOOOOOOOOOOO
5.Ramadhan Kiparamoto-GOOOOOOOOO
Azam:
1.Mwaikimba-GOOOOOOOOOOOOOO
2.Mau Mkami-GOOOOOOOOOOOOOOO
3.Atudo-GOOOOOOOOOOOOOOO
4.Haji Nuhu-GOOOOOOOOOOOOOO
5.Malika Ndeule-GOOOOOOOOOOOOOOO

AZAM:5
SIMBA:4.

AZAM ANAENDA FAINAL.

Nikiripoti kutoka hapa uwanja wa aman ni mimi reporter wako-CHAI CHUNGU aka MISUKOSUKO YA MAISHA aka kiboko ya warembo!

Kwa hisani ya JF!
 
Kiboko ya warembo umetishaaaaaaaa pita pale ccm au magereza ukachukue kisusio.......shukrani wangu.....tangu lini simba akala icecream....chezea chamazi wwwww
Hahahahahaha.
Poa mkuu.
Ngoja kwanza niwahi home kwanza ili nikapitiepitie JF nione kuna nn majukwa mengine!
 
Hahahaha.
Mkuu niliamua kujitafutia likizo nikaamua kuja kula bata huku zenji kutokana na mchoko wa kazi yangu ya jeshi lol!

Duh! We ni noma, sasa hiyo stori iandike kabisa na uisevu kwenye draft email. Ukianza utakuwa unatupia fasta fasa hizo episode.
 
Timu ya soka ya simba ya jijini daresalam imetolewa kwenye mashindano ya mapinduzi ya zanzibar baada ya kufungwa na azam, kwa penelt tano kwa nne katika mchezo uliochezwa dakika mai moja na ishirini.azam ambayo ilicheza pungufu baada ya wachezaji wake wawili kupewa kadi nyekundu ndio iliyokua ya kwanza kupata bao katka dakika ya 12 lilifungwa na umonyi kwa kichwa. umeme kani zanzibar ulikatyka gafla na kukaa kama dakika39....simba ilifanya mabadiko ya kuingiza wachezaji watatu kwa mpigo mabadiko yaliyo wasaidi kupata goli la kusawazisha dakika ya 39 lilofungwa na rashid ismaIL. mpaka dakika 90 zamalizaka magoli yalikua moja kwa simba na mpoja kwa azam.zikaaongezwa dakika 30 na katika dakika ya 111 simba ikapat goli la pilililofungwa na miraji mndeme aliyeingia kuchukua nafasi ya ramadhanui singano. mpira ukielekea kuisha katika dakika ya 119 paulo ngelema alicheza faulo ndani ya box na mwamuzi akatoa penalt kwa azam na ikapigwa wakasawazisha.mpaka dakika 120 zinaisha magoli yaliku ni 2-2 hivyo ikapigwa mikwaju ya penalt mabapo azamu walipata 5 na simba 4.,,, katika mechi hiyo simba ilichezesha kikosi cha pili kasoro komabil keita aliyekua nahodha kwa siku hiyo.waliopewa kadi nyukundu kwa upande wa azam ni ibrahim mwaipopo na jabir aziz
 
simba yatolewa na azam baada ya kufungwa kwa penalt 5-4...timu hizo katka dakika 120 zilienda sare 2-2.wachezaji wa azam wawili wapewa kadi nyekundu.umeme wakatika uwanjani.simba ilichezesha kikosi cha pili kasoro komambil keita aliyekua nahodha wa timu hityo kwa jana
 
simba kimeo kikali, yaani Azam wamebaki 8 tu uwanjani!!!!!!!! fungu la kukosa hili..
 
simba kimeo kikali, yaani Azam wamebaki 8 tu uwanjani!!!!!!!! fungu la kukosa hili..


Hawa watoto wa Simba huwa wananishangaza kweli. Kwa nini wanaweza kucheza vizuri kuliko hata kaka zao? Kwa mpira waliocheza jana, huwezi amini kama ni watoto. Ushindani ulikuwa ni mkubwa sana. Kwa watu wasiojua, Azam walifungwa goli mbili wakiwa kamili tena dakika za mwishoni wakapaniki na kujikuta wakila kadi. Ilibidi wasubiri penati ya dkk ya mwisho kusawazisha.

Kama Watanzania tunataka kufika mahali ktk soka, tuwekeze na tuwatumie vijana.
 
Back
Top Bottom