Azam vs Simba-Mapinduzi cup 09.01.2013!

Azam vs Simba-Mapinduzi cup 09.01.2013!

Gooooooooooooooo.
Dk 112:
Simba2-1Azam.
Mfungaji Miraji Madenge.
 
Hali siyo nzuri hapa mashabiki wa Azam hawakubaliani na maamuzi ya refa.
 
Duh ahsante mkuu naona simba tunatakata
 
Chai Chungu hao wachezaji wa azam wefanya tukio gani la kupewa kadi hizo?
 
Azam wameshusha mziki wao wote lakini ni wabovu sana.
Ila Kipa wao Mwadini ni mzuri sana anawabeba.
Wameingia gharama kupakia basi lao na kuja nalo hapa zenji lakini hamna kitu.

Meli ya kwao kupakia basi bure.....teteteeeee
 
Kamalizie hadithi ya kuachwa kilema. Mi nilijua hauko tena JF mpaka urudi.

Hahahaha.
Mkuu niliamua kujitafutia likizo nikaamua kuja kula bata huku zenji kutokana na mchoko wa kazi yangu ya jeshi lol!
 
Back
Top Bottom