Dk90+4:
Simba1-1Azam
Game over:
Simba1-1Azam.
Vyovyote itakavyo kuwa Azam wasiposhinda mechi ya leo basi hawafai kuwa mshindi wa pili katika ligi yetu ya Vodacom-TanzaniaDk 30 za nyongeza ndio zimeanza sasa.
Simba wanashambulia sana.
Ahsante kwa live update mkuu CHAI CHUNGU
Chai Chungu goli la simba kafunga nan?
Azam wameshusha mziki wao wote lakini ni wabovu sana.Vyovyote itakavyo kuwa Azam wasiposhinda mechi ya leo basi hawafai kuwa mshindi wa pili katika ligi yetu ya Vodacom-Tanzania
Wameingia gharama kupakia basi lao na kuja nalo hapa zenji lakini hamna kitu.