CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Dk 45:
Simba0-1Azam.
Simba0-1Azam.
Kila La Heri Azam
Yes mkuu si unajua tena marashi ya pemba!CHAI CHUNGU imemwagika au?
Tujaalie matokeo KamandaYes mkuu si unajua tena marashi ya pemba!
Dk59:Tujaalie matokeo Kamanda
Laweza kulala hiloDk59:
Simba0-1Azam.
Okwi na Sunzu vp hawamo?
Daaah munyama ananisononesha!
Vipi Simba kakalia Koni au?