Azam Ukwaju wanautoa wapi?

[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Wanaume wa dar mnakunywa juisi ya ukwaju.

Acha sie tunywe mbege
 
Hiyo sasa ni case nyingine, uswahilini hamna formula hivyo kila mtu anachangaya kulingana na utashi wake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lengo watu wanywe juice ya ukwaju.
Hahah mshkaji wangu aliwahi kuadhirika kwny haice pale Makumbusho sababu ya juice ya ukwaju.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwaju unazaa matunda baada ya miaka mitano?
 
Ukwaju unazaa matunda baada ya miaka mitano?
Mkuu mi5 ndiyo na huanza kwa kuzaa matunda machache sana kwa mwaka wa kwanza.

Me nishaotesha na kupanda shambani kwangu.

Kabla nilihisi huchukua miaka mingi sana.

Kumbe ile inayochukua miaka mingi ni ile inayoota kisuguuni sehemu kavu isiyo tifutifu, hudumaa na kuchukua miaka mingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ukwaju umejaa; unaoza
 
Ukwaju unatoka singida dodoma shinyanga tabora na ananunua tani 1 sh 1000000
 
Sio ukwaju wote labda kwa kiasi fulani tu. Nimepita njia kutoka Singida hivi karibuni barabarani kuna viroba vya ukwaju tele havijanunuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawajaamua kuupeleka Azam ni tatizo lao
Azama wametangaza wananunua ukwaju,ni jukumu la wakulima kuoeleka sokoni,au wanataka wafuatwe?kwani korosho hizo?
 
Mkuu baada ya hizo dalili za kisukari kwa siku mbili baadae ikawaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu baada ya hizo dalili za kisukari kwa siku mbili baadae ikawaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zilipotea tu japo na sikusikia tena, japo nimeshauriwa kuchukua hatua za kupunguza sugar intake,

Kinachonishangaza, kwa nini hiyo product ilinitingisha Kwa muda mfupi namna Ile.

Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…