Azam Ukwaju wanautoa wapi?

Huyo daktari tangu ameanza kuishi hajawahi kuona juice isiyo halisi zaidi ya hiyo Azam Ukwaju??
Watanzania wanapenda sana kukosoana.
Watanzania ndo tulivo kila mtu ni mtaalam wa kila kitu ndo maana tunakwama. Watu wanakunywa juisi kama unga unachanganya na maji lita 2 kwa pakti 1 sijasikia madokta wanakuja na tafiti zao za kihuni kukosoa leo Azam kawaza nje ya boksi kaja na bidhaa tayari kila mtu anakuja na utafiti wa kupinga. Eti ukwaju anautoa wapi wakati huo anaeohoji utakuta ye kwake anakunywa uji wa ukwaju sasa sijui yeye anautoa wapi ukwaju wa uji
 
Mbonam povu ...jamaa ana maanisha Azam anapata wapi ukwaju mwingi kiasi hiki ,hata mimi nashangaa kwa uzalishaji wa ukwaju/upatikanaji wake sidhani kama unatosha kuzalisha hiyo product yake kwa mwezi mmoja!
Huo ni ukwaju wa kichina bila shaka!
 
t blj, Hebu rudia kula tena. Ikiwa dalili zitakuwa hivyo hivyo, basi unaweza jiaminisha zaidi kuwa hazikufai kiafya.

nyoka hana tako
 
Maziwa ni asas tu......ukitembelea pale iringa unaona kabisa ng'on be, maziwa na zile mashine za kukamulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…