AZAM Tv

AZAM Tv

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,441
Reaction score
38,436
wana JF, nipo kibaha, nina shida na fundi ama mtu yyt anaeweza kufanya set up ya king'amuzi cha azam tv hm kwangu! anipe na gharama yake!
 
Ingia kwenye website ya Azam tv ili umjue agent aliyekaribu na wewe then nenda kanunue mwenyewe alafu tafuta fundi yeyote wa madish atakufungia.Mimi sasa ni mteja wa AZAM TV.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom