Dstv ndo mpango
nao wamejiingiza kwenye utapeli! wamezima risiva nyingi za 3-u, hasa kama hujatumia miez 2 kuendlea. ukienda ofisin kwao eti hawawez ku-upgrade hvyo wanashauri ununue mpya! naendlea kushughlika nao mpaka watoe muafaka sahih kwa risiva yang ambayo haijatumika hata mwaka ingawa imemalza mwaka toka kununua. kwanin risiva za model hiyo ndo zmekufa? yamkin wamefanya makusud!. wana huduma bora sawa! sasa kwa nin wameanza ubabaishaji?