Azam TV, wizi kwa wote

Azam TV, wizi kwa wote

azam wamepandisha bila taarifa na michaneel yao ni ya kiarabu tu. Cha maana ni hiyo ligi kuu ikiisha nyimbo za kiarabu na kihindi




kosa la azammedia wamefanya suprise tu kwa wateja hata hawakutangaza mwezi mmoja kabla au mwanzo mwa mwaka

Kosa lao ndio hilo na mimi ninaowafuatilia kwa karibu mfano walisema ch Madrid na liverpooll mwezi huu zingeanza kuonekeana

xha ajabu wamekuja na hayo na hadi sasa hazioneshi.
 
Inaonekana jamaa hawa wa Azam ni waswahili (wababaishaji). Walianza vizuri; ila sasa mhh! Mie nilipata ujumbe tu kwenye simu kwamba kuna vifurushi na bei mpya. Mbona ghafla? Hasira za kunyanyaswa na El mereikh?
 
Kudadadeki wameshusha king'amuzi mpaka 99 na miezi miwili tu tangu nitoe 165.i feel heavily betrayed.:thumbdown::banghead:
 
Channel nyingi kwenye Azam ni za bure,wewe hizo channel za kihindi zilizojaa humo analipia kwa nani,mbona karibu zote ni channel ambazo zinapatikana free?aweke kama supper spot 1 na channel kama hizo nido uongee haya unayoongea

wewe unahitaji muda kuelimishwa haya mambo,channel za bure ni zipi wakati yeye ananunua masafa TCRA na satelite?sasa kama channel za bure kwanini unaamua kuzitazama kwa kutumia decorder ya Azam badala ya kutega ungo uzipate zoote kutoka kwenye satelite?
 
wewe unahitaji muda kuelimishwa haya mambo,channel za bure ni zipi wakati yeye ananunua masafa TCRA na satelite?sasa kama channel za bure kwanini unaamua kuzitazama kwa kutumia decorder ya Azam badala ya kutega ungo uzipate zoote kutoka kwenye satelite?

Kwa hiyo akiweka Barca Tv, Madrid Tv, Arsenal Tv, Chelsea Tv, Man Utd Tv, Man City Tv, Super Sports kwishney na haki zake za EPL?!
 
hawa walijinadi kwa mbwembwe kuwa watapambana na Super Sport kutuletea ligi kubwa za ulaya kwa bei nafuu. mm bado nasubiri
 
mi ndo wamenitumia sms ya taarifa sasa hivi, sijui wamechungulia huku
 
hawa walijinadi kwa mbwembwe kuwa watapambana na Super Sport kutuletea ligi kubwa za ulaya kwa bei nafuu. mm bado nasubiri

Thubutu, matajiri wa G Sports walishindwa yeye ndiyo aweze?
 
In ajabu sana aisee,mnapandishaje ghafla bila taharifa jamani kama tunaviziana? na in kwanini meseji inaonesha pesa tu wakati hamtaki kusema ni chaneli zipi tunazipata kifurushi Fulani,mbona mmeanza kufanya kazi kwa approach za kiswahili wakati mnahiita smart?? kama hamuweku Star TV mid nawahama tu
 
Azam TV walisema wana aina moja ya kifurushi ambacho cost yake ni Tsh 12500. Leo bila ya taaarifa yoyote wanapandisha kutoka 12500 mpaka 20000.


Nawaomba mrudishe 12500 yangu nkanunue vingamuzi vya elfu 4000
Azam tv ni jipu kila mtu analalamika saiv
 
Nina mpango wa kuuza king'amuzi changu cha ZUKU nijiunge na Azam, mnanifanya nijifikirie mara mbili.
Hao wana sifa gani kaka, na kuna chaneli gani Za hapa bongo? Na je usipolipia wanaacha chaneli gani
 
Namalizia mwezi huu narudi kwenye DSTV yangu ya 17,000/= wanaongeza pesa kwa ile michanel yao ya bure hovyo kabisa.
Hicho kifulushi kuna chanel gani, mi nipo na azam nataka niende dstv
 
Hao wana sifa gani kaka, na kuna chaneli gani Za hapa bongo? Na je usipolipia wanaacha chaneli gani
Hao ZUKU hamna kitu kabisa, usipolipa zinakatwa zote
 
Back
Top Bottom