Azam TV, wizi kwa wote

Azam TV, wizi kwa wote

Dah kweli mwenye nacho ataongezewa! Baada ya miezi 6 tutaambiwa ni elfu 30, 000/= nao n wezi tu kama wachina
 
Dah kweli mwenye nacho ataongezewa! Baada ya miezi 6 tutaambiwa ni elfu 30, 000/= nao n wezi tu kama wachina, kwani wameongeza channel gani za maana?
 
Ndugu VP umeshakiuza hicho kingamuzi nilikua nakihitaji kukinunua kama bado nicheki 0717675140

Hahahaha.....auze wapi.....nafikiri cha msingi AZAM TV waboreshe huduma ili ziendane na dhamani ya vifurushi hata kama kutakuwa na kifurushi cha laki 2.....
 
Azam TV walisema wana aina moja ya kifurushi ambacho cost yake ni Tsh 12500. Leo bila ya taaarifa yoyote wanapandisha kutoka 12500 mpaka 20000.


Nawaomba mrudishe 12500 yangu nkanunue vingamuzi vya elfu 4000

Binafsi sijafurahi
 
Azam anafanya biashara sio anatoa msaada,jamaa analipa kodi,na hana ruzuku,channel zake sio local.hawezi kununua channel kubwa za nje kwa bei kubwa halafu auze bei ndogo KWAHIYO SIO SAHIHI KUMUITA MWIZI.Kosa lake ni kutotoa taarifa mapema za bei mpya.
 
Watu wanataka vitu vizuri kwa ubwete..

Wabongo kwa kulialia kama watoto! Kama unaona huna uwezo wa kulipa hiyo nyongeza si ulipe 10,000/-? Kuna 10,000/-, 15,000/- na 20,000/-.
Au kama huridhiki si uachane nao tu? Ndio maana kukawa na makampuni mengi, badala ya blah blah zisizokuwa na maana take actions, hamia kwengine!!!!
 
Mimi natafuta mteja wa King'amuzi cha Azamu hata kwa sh elfu 50 nitampa,nataka ninunue ungo wa kawaida nifunge nitapata free channel na nikiongeza vitovu viwili nitakamata channnel zaidi ya 80 bure zikiwemo za movies ,za mpira ,za dini NK,kama ni ligi za Tanzania nitakuwa naywea soda baa ya jirani yenye AZAM huku naangalia mpira.Hawana maana kabisa,badala ya kuboresha vifurushi na kupunguza bei ili wateja wawe wengi wao ndio wanazidi kupunguza channel na kuongeza bei,hata kama ni hela ya uchaguzi haitafutwi hivyo
 
Azam 1 na 2 zitakua kwenye package gani.?
 
Azam anafanya biashara sio anatoa msaada,jamaa analipa kodi,na hana ruzuku,channel zake sio local.hawezi kununua channel kubwa za nje kwa bei kubwa halafu auze bei ndogo KWAHIYO SIO SAHIHI KUMUITA MWIZI.Kosa lake ni kutotoa taarifa mapema za bei mpya.
Channel nyingi kwenye Azam ni za bure,wewe hizo channel za kihindi zilizojaa humo analipia kwa nani,mbona karibu zote ni channel ambazo zinapatikana free?aweke kama supper spot 1 na channel kama hizo nido uongee haya unayoongea
 
Nahisi hii itakuwa hasira ya kung'olewa na wasudan katika champions. Hatare sn.
 
azam wamepandisha bila taarifa na michaneel yao ni ya kiarabu tu. Cha maana ni hiyo ligi kuu ikiisha nyimbo za kiarabu na kihindi
 
Back
Top Bottom