Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,445
- 7,816
Naona kifurushi chenye kuonyesha mpira sikielewi, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei ikiwapendeza.
TFF kutoa mkataba wa miaka mingi kwa hawa jamaa alizingua, bora msimu ujao wa ligi angejaribu mwingine kama gharama zimewashinda.
TFF kutoa mkataba wa miaka mingi kwa hawa jamaa alizingua, bora msimu ujao wa ligi angejaribu mwingine kama gharama zimewashinda.