Mvua ikizidi hata DSTV inakata mkuu, huo ndio ukweliNdio maana nikasema kwangu haijawahi tokea hali hiyo!!! Na hata majirani zangu wanapoonyesha mipira kuna kuwa na mvua kubwa sana lakini bado mpira unaoneshwa?! Inakuwaje lakini kwa azam ni sehemu kubwa watu wanalalamika'! Ila na ubora na LNB unachangia sana!!
Mimi nipo dar cjawahi kukutana na hilo ndio maaana nashangaaa!! Inaeezekana labdaMvua ikizidi hata DSTV inakata mkuu, huo ndio ukweli
Una bahati mkuu, hiyo dstv mvua ikinyesha ni shida hasa kipindi hiki cha masika,channel zinakata kabisaNdio maana nikasema kwangu haijawahi tokea hali hiyo!!! Na hata majirani zangu wanapoonyesha mipira kuna kuwa na mvua kubwa sana lakini bado mpira unaoneshwa?! Inakuwaje lakini kwa azam ni sehemu kubwa watu wanalalamika'! Ila na ubora na LNB unachangia sana!!
Tafuteni makopo au visado mfunike LNB somehow inasaidia.
Ni kweli kabisa unachosema mkuu star times ya dish ipo vizuri hata mvua ikinyeshaKumbe bora ata star times maana japo hawaoneshi lig ya vpl ila wako vzr mvua inapga si tumo tu...
Kaka Dstv habari nyingine kabisa, kama umeset dish signal strength and quality zikawa above 70% wewe hata mvua ya mawe uje anapiga mzigo, Mimi toka nimeanza kutuma nakaa ukanda wenye mvua sana Kilimanjaro lakini sijawahi kumbana na hicho kimeo cha kukata kata. Ndio mana tunalipa ghali usifikiri mchezo yani subscription ulipie 85,000 afu unilinganishe na wewe Wa 10,000 common meeeen.Una bahati mkuu, hiyo dstv mvua ikinyesha ni shida hasa kipindi hiki cha masika,channel zinakata kabisa
Mimi huwa inatokea mvua inapokuwa kubwa sana kama ya jana mchanaMimi nipo dar cjawahi kukutana na hilo ndio maaana nashangaaa!! Inaeezekana labda
Yaani hiki king'amuz cha Azam TV kina kela kwakweli,nipo tu home masaa mawili sasa mvua inanyesha hat kuangalia TV siwezi.
Yaani hawa jamaa mvua ikinyesha tu matangazo yanakata,signal zinashuka.Da inanikera sana Mimi.Watu wa Azam TV mjaribu kumaliza hili tatizo maana toka mvua za masika zimeanza mara nyingi nakosa kupata picha nzuri.
Natumia dstv toka 2009, nazungumza kutokana na uzoefu wangu.Kaka Dstv habari nyingine kabisa, kama umeset dish signal strength and quality zikawa above 70% wewe hata mvua ya mawe uje anapiga mzigo, Mimi toka nimeanza kutuma nakaa ukanda wenye mvua sana Kilimanjaro lakini sijawahi kumbana na hicho kimeo cha kukata kata. Ndio mana tunalipa ghali usifikiri mchezo yani subscription ulipie 85,000 afu unilinganishe na wewe Wa 10,000 common meeeen.
Kujibiwa siyo tatizo bali wanazingua,mvua kidogo tu tayari inakuwa kero hatuoni kituWasiliana nao/ huduma kwa wateja/ tumia Social media ku address malalamiko yako wako very active utajibiwa!