Yaani hiki king'amuz cha Azam TV kina kela kwakweli,nipo tu home masaa mawili sasa mvua inanyesha hat kuangalia TV siwezi.
Yaani hawa jamaa mvua ikinyesha tu matangazo yanakata,signal zinashuka.Da inanikera sana Mimi.Watu wa Azam TV mjaribu kumaliza hili tatizo maana toka mvua za masika zimeanza mara nyingi nakosa kupata picha nzuri.
Wasiliana nao/ huduma kwa wateja/ tumia Social media ku address malalamiko yako wako very active utajibiwa!Proper channels unamaanisha nini mkuu?
Kwa hiyo hata taa wasiwashe mvua ikinyesha?Acheni kuangalia tv wakat wa mvua msije mkagongwa na radi.
Dstv?? Limeanza lini hilo tatizo?! Mimi ni mwaka wa tano sasa cjawahi ona kuwa mvua inanyesha eti inakataa kuonyesha?!!! Au ina scratch kama hawa azam tv?!!! Hiyo yako itakuwa na shida au sijui ubora uko tofauti lakini kinukweli azam inakela mno manyunyu kidogo tu shida.Hata DSTV tatizo ni hilohilo, wanasema wanatumia satelite ambazo zinaathiriwa na mvua
Hata Dstv mvua ikizidi inakata. Wanatumia satelite kurusha matangazo mvua ikinyesha cloud cover inaathiri matangazo and there is nothing they can do.Dstv?? Limeanza lini hilo tatizo?! Mimi ni mwaka wa tano sasa cjawahi ona kuwa mvua inanyesha eti inakataa kuonyesha?!!! Au ina scratch kama hawa azam tv?!!! Hiyo yako itakuwa na shida au sijui ubora uko tofauti lakini kinukweli azam inakela mno manyunyu kidogo tu shida.
Ndio maana nikasema kwangu haijawahi tokea hali hiyo!!! Na hata majirani zangu wanapoonyesha mipira kuna kuwa na mvua kubwa sana lakini bado mpira unaoneshwa?! Inakuwaje lakini kwa azam ni sehemu kubwa watu wanalalamika'! Ila na ubora na LNB unachangia sana!!Hata Dstv mvua ikizidi inakata. Wanatumia satelite kurusha matangazo mvua ikinyesha cloud cover inaathiri matangazo and there is nothing they can do.
Uko sahihi kabisa. Ila azam imezidiHata Dstv mvua ikizidi inakata. Wanatumia satelite kurusha matangazo mvua ikinyesha cloud cover inaathiri matangazo and there is nothing they can do.