Mhaiki2022
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 138
- 193
Karibia mwaka sasa Azamtv wamesitisha ku promote ndondi...mpaka sasa wale mabondia wameanza kusahaulika...
Viongozi wa ndondi wakaiangukie Azam na kuweka michezo hiyo kwenye channel zake... vinginevyo hali itakuwa tete...
Viongozi wa ndondi wakaiangukie Azam na kuweka michezo hiyo kwenye channel zake... vinginevyo hali itakuwa tete...