Juzi wateja wote wa Dstv walipata ujumbe juu ya ongezeko la gharama za huduma ya king'amuzi cha Dstv. Sasa kifurushi premium itakuwa kama 180,000 hivi. Naamini hawa jamaa wanapata jeuri na kiburi hiki sababu hawana ushindani hapa africa hasa kusini mwa jangwa la sahara maana upuuzi huu haupo nchi za kiarabu.
Tunaamini mnao uwezo wa kununua hati ya kurusha matangazo ya ligikuu ya england maana hii ndiyo siri ya kiburi chao. Hakika watanzania tutawaunga mkono 100%
Tuondoleeni huyu kaburu mnyonyaji.
Tunaamini mnao uwezo wa kununua hati ya kurusha matangazo ya ligikuu ya england maana hii ndiyo siri ya kiburi chao. Hakika watanzania tutawaunga mkono 100%
Tuondoleeni huyu kaburu mnyonyaji.