Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,323
- 11,389
Kuna ujinga unaendelea hii nchi tushafanywa kama wapuuzi, Azam vifurushi tushalipia Cha ajabu Kila siku za mechi mnatuletea ujumbe kana kwamba hatujalipa, ukipiga simu customer care wanakuambia upige *150*50*5# kuweza kupata huduma kama ushalipia, upuuzi ni kwamba Huduma Hio wanakata muda wa maongezi wa 500, bila jero huwezi kuactivate account yako.....
Jana mmenikata jero na Leo jero, na bado nalipia huduma zenu Kila mwezi.... Mshafanya biashara sio??? Mnachezesha network ili mkate jero jero zetu sio????
Ngojeni
Jana mmenikata jero na Leo jero, na bado nalipia huduma zenu Kila mwezi.... Mshafanya biashara sio??? Mnachezesha network ili mkate jero jero zetu sio????
Ngojeni