28,000 Kwa mweziHivi kwanza ni bei gani hiyo Azam kwa sasa?
EPL inapatikana kwa sh ngapi huko?Ngoja nilipie Dstv yangu, nilikuwa najiuliza hapa nilipie Azam au Dstv kumbe bado kuna ubwege ubwege?
Azam amekuwa na tabia ya kuomba dharura kwenye matukio mbashara mpaka wanaboaBila kupoteza muda asalaam alaykum
Bwana asifiwe.
Msiokua na mungu habari zenu.
Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara.
Jambo hili linakera na kuzua sinto fahamu.
Nikweli brand yenu ni kubwa fanyeni kazi kama ma professional.
Mnakera mnakera mnakera
Issue ni kwamba wanalazimika kupitisha matangazo yao. Hakuna cha tatizo la kiufundi wala niniAzam amekuwa na tabia ya kuomba dharura kwenye matukio mbashara mpaka wanaboa
Namaanisha bei ya dish na Decoder full mkuu ni bei gani?28,000 Kwa mwezi
Mkuu ina maana hujaona winhu na mvua kubwa inayonyesha singidaBila kupoteza muda asalaam alaykum
Bwana asifiwe.
Msiokua na mungu habari zenu.
Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara.
Jambo hili linakera na kuzua sinto fahamu.
Nikweli brand yenu ni kubwa fanyeni kazi kama ma professional.
Mnakera mnakera mnakera
Nadhani 150kNamaanisha bei ya dish na Decoder full mkuu ni bei gani?
Huu uzi uliletwa kabla ya tukio la mvua, Azam walipotea hewani kwa mambo ya kiufundi kipindi cha kwanza zaidi ya dakika 30. Ishu ya mvua ikaja baadaeKuna mvua ya kufa mtu camera zinaonyesha ukungu mashabiki wameukimbia uwanja pamoja na wachezaji aliyebaki uwanjani ni refa tu
Wewe unatizama kwa kutumia TV ya udongo au