The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Hilo badiliko hata mimi nimeliona. Kwa mfano leo hakukuwa na habari ya maana kuhusu UKAWA. Walionyesha tu Mbowe akieleza kitiu kuhusu mzee Makaidi. Wakati ule mkutano wa ccm kule unguja ulionyeshwa kiasi cha kutosha: wazungumzaji na nyomi la wasikilizaji.
Hisia zangu zinaniambia kwamba kati ya wanazi wa ccm pale azamtv ni Charles Hilary. Nasema hivi kwa sababu kuna siku walianza kuonyesha mkutano wa ccm wa magufuli. Haukuwa wa kusisimua sana. Baadaye wakaonyesha wa Lowassa. Ukafunika vibaya. Mwishoni wa taarifa ile nikamsikia Charles akisema wanarudia kuonyesha ule mkutano wa magufuli kwa sababu haukuonekana vema mara ya kwanza. Sababu ilikuwa ya uongo. Nadhani aliumia moyoni.
Naipenda sana Azamtv. Ila msinilazishe kukitupa king'amuzi chenu. Badilikeni.