Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

Tunashukuru Mungu kuwa ITV ndiyo inayotazamwa na watu wengi sababu iko kny kila king'amuzi, hao azam anayewaona ni yule mwenye king'amuzi chao tu.

Na ndo maana ni brandy namba moja Tanzanua.....Azam natupz king'amuzi chenu naenda kulipia Dstv.....wajinga sana nyinyi
 
Kati ya watu 23 milion Ukawa wana kura milioni 12 wazi kabisa. Nimetumia hesabu rahisi sana na usiniulize kwanini. Acha wale ambao hawako kwenye mfumo wa Ukawa ambao naujua mimi
 
Owner wa AZAM TV ni fisiemu siku zote

msisahau hilo

Revolution is never televised... wapiga kura hawapo Azam, dawa ni kukomaa na grassroots campaigns

Una uhakika?mbona walimchomea ngano yake pisha huko mnataka kutengeneza maigizo kama ya ITV
 
Mnayo itv yenu NA u4soro simuangalie hiyo au fungueni yenu hata mimi sikubali KUA nateam inayoshindwa.tbc mbaya star tv mbaya azam mbaya haya anzisha yako uone KAMA watakuingilia.ccm mbele kwa mbele.

kwani kati ya hzo ni tv ngapi zilipewa tuzo kwa kutenda usawa .?
Tafakari., &Chukua hatua
 
Azam Tv hiki mnachofanya hakivumiliki.

Wananchi tulianza kuwaamini sana kwa huduma zenu za matangazo ya televisheni. Taarifa zenu za habari na hasa Campaigns zilikuwa balanced kwa vyama vyote vikubwa vya siasa na hasa CHADEMA/UKAWA kwa upande mmoja na CCM kwa upande mwingine zilikuwa balanced bila bias yoyote.

Lakini kwa takribani wiki mbili zilizopita tunaona tofauti kubwa sana na hasa kwa upande wa mgombea urais wa,CHADEMA/UKAWA Mh. Edward Lowassa. Taarifa za mikutano yake hamzioneshi vizuri siku hizi na hata kama mtaonesha huwa camera zenu zinawakwepa umati wa wahudhuriaje ambao huwa ni wengi na badala yake mnaishia kuonesha high table tu.

Na kwa siku ya leo ndio mmetia fora kabisa. Licha ya kuacha kuonyesha mikutano ya Lowassa huko kanda ya ziwa lakini pia mmetunyima kusikia alichosema Mh. Freeman Aikael Mbowe juu ya Msiba wa M/kiti mwenza wa UKAWA Dr. Emmanuel Makaidi. Wakati mtangazaji anatangaza hiyo habari sauti ilikuwa inatoka lakini Mh. Mbowe alipoonyeshwa akitoa tamko la UKAWA kuhusu kifo cha Mh. Makaidi sauti ikakata. Ilipoisha habari ya Mbowe sauti ikarudi. Kwa kweli wana-UKAWA wameumia sana kwa hiki mlichotufanyia leo. Na hata hamkuomba radhi.!!!

Am sure Ndg. Tido Mhando ni mtu ambaye ni smart sana na huenda hajui hiki kinachotokea. Huenda anahujumiwa na mafundi mitambo na watangazaji wa Azam.

Azam tv kumbukeni kuwa mna wateja toka vyama vyote na wote wanalipa gharama sawa kila mwezi. Hivyo acheni kutakatisha tamaa wateja wenu. Kama imekuwa ikitokea kwa,bahati mbaya basi ni busara muwe mnaomba radhi.

MODS NAOMBENI MSIUFUTE UZI HUU KWANI TUNA HAKI YA KUONYESHA MASIKITIKO YETU KWA JF IS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.

Uko right kabisa mkuu.
 
Azam tv badilikeni, la sivyo mtadharaulika kama wengine in the near future. I salute ITV
 
Hata marefarii wanatimu zao wanazoshabikia kaa ufahamu na hilo
 
Tusilaumu Azam yote labda mtayarishaji Wa Taarifa za Habari Wa Azam ndio mwenye kadi ya ccm,ndio maana ana Wivu !
 
Azam acheni kuzingua tutaishia kuangalia ligi kuu ya bara tu na hata kususia TV yenu . Nani kawatuma?
 
Wapo watakaovunja Tv zao baada ya matokeo na wataanza kuwalalamikia samsung, panasonic, sony, singsung etc kuwa Tv zao ni mbovu na za sisiemu, hawa jamaa hawasomeki kabisa.

Kila kitu mnakilalamikia !!.msiwe mnaangalia tv mpaka uchaguzi uishe..
 
Azam Tv hiki mnachofanya hakivumiliki.

Wananchi tulianza kuwaamini sana kwa huduma zenu za matangazo ya televisheni. Taarifa zenu za habari na hasa Campaigns zilikuwa balanced kwa vyama vyote vikubwa vya siasa na hasa CHADEMA/UKAWA kwa upande mmoja na CCM kwa upande mwingine zilikuwa balanced bila bias yoyote.

Lakini kwa takribani wiki mbili zilizopita tunaona tofauti kubwa sana na hasa kwa upande wa mgombea urais wa,CHADEMA/UKAWA Mh. Edward Lowassa. Taarifa za mikutano yake hamzioneshi vizuri siku hizi na hata kama mtaonesha huwa camera zenu zinawakwepa umati wa wahudhuriaje ambao huwa ni wengi na badala yake mnaishia kuonesha high table tu.

Na kwa siku ya leo ndio mmetia fora kabisa. Licha ya kuacha kuonyesha mikutano ya Lowassa huko kanda ya ziwa lakini pia mmetunyima kusikia alichosema Mh. Freeman Aikael Mbowe juu ya Msiba wa M/kiti mwenza wa UKAWA Dr. Emmanuel Makaidi. Wakati mtangazaji anatangaza hiyo habari sauti ilikuwa inatoka lakini Mh. Mbowe alipoonyeshwa akitoa tamko la UKAWA kuhusu kifo cha Mh. Makaidi sauti ikakata. Ilipoisha habari ya Mbowe sauti ikarudi. Kwa kweli wana-UKAWA wameumia sana kwa hiki mlichotufanyia leo. Na hata hamkuomba radhi.!!!

Am sure Ndg. Tido Mhando ni mtu ambaye ni smart sana na huenda hajui hiki kinachotokea. Huenda anahujumiwa na mafundi mitambo na watangazaji wa Azam.

Azam tv kumbukeni kuwa mna wateja toka vyama vyote na wote wanalipa gharama sawa kila mwezi. Hivyo acheni kutakatisha tamaa wateja wenu. Kama imekuwa ikitokea kwa,bahati mbaya basi ni busara muwe mnaomba radhi.

MODS NAOMBENI MSIUFUTE UZI HUU KWANI TUNA HAKI YA KUONYESHA MASIKITIKO YETU KWA JF IS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.

crazy crazy, unalialia nin wakati solution ipo mkonon kwako. Change the channel.

Ndo mnataka mabadiliko nyinyi. Utaibiwa mke kulialia.
 
Back
Top Bottom