Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 9,745
- 34,570
Kwa kifurushi cha 20k tu kupitia azam Tv naangalia ligi ya Bundesliga kumuona Robert Lewandowski, Ligue 1 kumuona Neymar na Messi, EFL kumuona Ronaldo na Bruno Fernandes, NBC kumuona Clotous Chama pale Simba jinsi anavyo drible mithili ya PlayStation.
Na hata nikishindwa kulipia kifurushi mwaka mzima kila Jumamosi nitaona mechi moja ya Epl bureee kupitia UTV na hata mechi za CAF nitaziona bure kupitia ZBC2 na UTV na channel zingine za buree kibaaao.
Aise Azam Tv ni burudani kwa wote mzeiya