Azam TV leo bure tu

Azam TV leo bure tu

Si unajua kwenye kuiga wakubwa, azam ni number one? DSTV huwa wanawapa wateja wake offer ya kuangalia channel zote hata ambazo hazipo kwenye kifurushi chako kwa siku moja. Inaonekana azam na yeye kaamua kuiga.
 
Kumbe ndio ivo.

Jana napigiwa simu na wazee wangu, umetuungia kifurishi cha AZAM, tunashukuru ahsante sana.😁😂
Kesho wakipiga simu kukuliza kwani uliunga kifurushi cha muda gani unawaambia niliunga cha mwezi hebu wasinitanie ngoja niwapigie azam simu
 
Back
Top Bottom