Azam Tv kuweni macho

Azam Tv kuweni macho

Ilishatangazwa siku nyingi kwamba Azamtv ni pay tv. Nyie mnaelewa maana ya pay tv?

Kuna mdau hapo juu kasema startimes wanatumia antenna tu. Si kweli. Sasa hivi wana ving'amuzi vinavyotumia dish pia. Yaani wana satellite tv.
 
ishu siyo pesa kwasababu hata ikiwa 15000 bado uwezo wa kulipa upo kama tu mnakubaliana na ushauri wetu na kama kweli mnapenda kuwa karibu na wateja wenu ...kwahiyo haina haja ya kuwa wakali kama mnaweza tupeni kama haiwezekaniki kabisa mnasema pia,siyo mbaya
 
unatoa 12500 unataka ucheki ligi za ulaya! hivi kichwa chako kina akili au matope?
 
waungwana tuliene vumilieni wakati inatangazwa tenda mwaka jana mwezi wa 7 azamtv walikuwa hawajafungua na tenda ni miaka 3 na ndio mwaka jana aljazeerasport alimpoka dubaisport.mwakani tenda inatangazwa hapo tutaona mwenye ubavu
 
tunaamini kwa kuanza na DTV walau mnaelekea kule sie wateja wenu tunakotegemea mtupeleke ...nimefurahi kuiona chaneli hii kwenye king'amuzi chenu ila tuwekeeni na Tbc2 ili tumalize kazi
 
AZAM TV is doing relatively well. Wabongo acheni majungu. Halafu inaonekana wengi wenu hamna uelewa wa biashara hii ya tv. Yaani kwa sh 12500 mnataka muone ligi za soka za ulaya. Hii sio charity organization. Wenye experience ya majuu watuambie.

Mimi naifahamu canal+ ya huko majuu. Pesa yake ni ndefu ukitaka kuangalia mpira.

ZUKU TV nalipa sh 13,000 na EPL naangalia.
 
kiukweli niko vry disappointed na AZAM TV,,hakuna jipya yaani najilaumu,,bora ningenunua DSTV
 
ZUKU TV nalipa sh 13,000 na EPL naangalia.

Kuna channel huonesha mechi mbili kwa wiki hata AZAM TV lakini ukweli halisi ukitaka EPL full nenda DSTV .......
 
kiukweli niko vry disappointed na AZAM TV,,hakuna jipya yaani najilaumu,,bora ningenunua DSTV

Unafurahisha mkuu....yaani ulikuwa na uwezo wa kumiliki na kulipia DSTV alafu nini kikavuta AZAM TV? Akina AZAM TV tuachie sie wenye pesa za kuungaunga mkuu wangu ...... Huwezi kulinganisha DSTV na AZAM TV hata kidogo ...... wewe lipia DSTV 130,000 kila mwezi mbona uta enjoy sana na EPL zote utakodolea home ....tena ikibidi lipia ile ya 180,000 kwa mwezi ili ufaudu mautamu yote ya TV...........hizi za asante Kikwete tshs 12,500 tuachie akina siye bana ........
 
Premium ya dstv ni 142000/month. Ni full makamuzi. Halafu kuna watu wanataka kulipia msimbazi na robo (azam/zuku) kwa mwezi wapate uhondo kama wa dstv. Mnachosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom