Azam Tv kuweni macho

Azam Tv kuweni macho

Kiukweli kabisa huwezi kulinganisha Dstv na Azam tv.
Kiumri hawalingani Dstv wana zaidi ya miaka 25 wakati Azam tv ndio mwaka wa kwanza.
Idadi ya channel hawalingani.
Ubora wa channel hawalingani.
Viwango vya ulipaji hawalingani...
List ni ndefu lakini cha msingi kuelewa ni kuwa Azam tv ni kwa ajili ya watu wenye vipato vidogo na vikubwa bila kuwabagua.
Ndio maana nembo yao inasomeka BURUDANI KWA WOTE.

Hata kama Azam tv ni kwa ajili ya makabwela kama mimi basi tupewe tunachotaka
 
Alafu hivi bei sahihi ya king'amuzi cha azam ni sh ngapi?maana nimeenda kuulizia pale mwenge maeneo ya tarakea wanauza 180,000 wakati kuna MTU kaniambia kanunua 130,000 tegeta
125,000 wangu ndo bei sahihi.
 
Mimi naipenda Picha za kihindi
 
Hata kama Azam tv ni kwa ajili ya makabwela kama mimi basi tupewe tunachotaka

tatizo kubwa la mtanganyika ni kupenda vizuri bila au kwa gharama ndogo,12000 ikupe mpira wa ulaya.movie na chanel kedekede nzuri!?
 
Hivi zile chaneli za Bein sports zinapatikana kwenye king'amuzi gani?
beinsport unaweza kuipata kwenye king'amuzi chochote ilimladi kiwe na sehemu ya kuchomeka smartcard na sharti king'amuzi chako kiwe mpg4, unachofanya ni kununua smartcard yao na unatafuta dish la futi8 unacheki ligi ya mipira ya ulaya, au kama una decoda hizi za kisasa mfano xmaster 3g min hd, au qsat23 nazingine za aina hii unachofanya unatafuta dish la kawaida la futi6 c-band unalielekeza juu unapata belnsports na kuna namba furani hivi ukiziingiza unaipata bure kabisa hakuna kulipia hata shilingi moja huwezi amini, wanaonye mechi zote za epl, n.k.
 
Kiukweli kabisa huwezi kulinganisha Dstv na Azam tv.
Kiumri hawalingani Dstv wana zaidi ya miaka 25 wakati Azam tv ndio mwaka wa kwanza.
Idadi ya channel hawalingani.
Ubora wa channel hawalingani.
Viwango vya ulipaji hawalingani...
List ni ndefu lakini cha msingi kuelewa ni kuwa Azam tv ni kwa ajili ya watu wenye vipato vidogo na vikubwa bila kuwabagua.
Ndio maana nembo yao inasomeka BURUDANI KWA WOTE.

Sasa burudani gani wanazo azam mpira hakuna music moves zote ni kanjanja tu wewe sema azam ni kwamasikini tu nitakuelewa sio matajiri nasisi masikuni siku za kubaki azam znahesabika azam wakiendelea lazima tuoondoke hakuna cha maana
 
Hawa azam tv,channel za kihindi na kiarabu ndo mengi.
Hamna chanel ya kikristo,huo ubaguzi abadilike,tushamkimbia wengine
 
hii nchi ya ajabu sana, watu tuna dstv kwa gharama ya MB we unatoa zote hizo?

Mi naangalia dstv bure

startimes ni ziada

hilo azamtv niwewaachia wapinga kristo
 
Ni juzi tu mlishindwa kurusha world cup,hamjaweza kurusha Kagame na hata EPL hamrushi hata mechi moja ukiachia mbali UEFA.

Hamuoni wenzenu startimes,hamuoni atn,hamuoni tbc na kibaya zaidi hata tbc2 kunakorushwa uefa nyinyi hiyo hamna.

Nataka tu niwaulize,hivi sie wateja wenu wapenzi wa soka mnatuplease vipi? Mnatuletea ligi za holland zitusaidie nini ama mnafurahia tu kupokea 12500 kila mwezi tena kwa vitisho?

Kuweni makini kabla biashara yenu haijaanza kudoda make najua mteja hata mmoja wa kudumu katika biashara ni sawa na mfalme kwako.
Kampuni nyingine zinaanzishwa vituo vya Tv ilimradi ijulikane wanamiliki Tv
 
Unataka makubwa kwa vipesa vyako 12,500?walio na DSTV wanaolipa zaidi ya laki moja tena kwa mwenendo wa Rate ya Dola,na wao wasemeje?Wabongo kwa visa?
Ukitaka makubwa ugharamike,kila kitu kinamwanzo wake.
Halafu sio wote wapenzi wa Mipira ya utumwa wa Akili.
Kwangu mie ligi Kuu ya Tanzania kuonyeshwa na AZAM Tv ni Tosha sana kwangu kama Mzalendo.

Halafu Tambua Mikataba ya Urushwaji wa Matangazo,ukiua kuangalia Tv au Kununua Dikoda basi ujue na wao wanaorusha wanafanya nini mpaka wewe kupata matangazo.Na Kama Azam wakifanikiwa mikataba hiyo basi ujue kutakuwa na bando zaidi ya moja na sio chini ya 50,000 kwa mwezi ili ku access ligi kubwa duniani.
 
Ni juzi tu mlishindwa kurusha world cup,hamjaweza kurusha Kagame na hata EPL hamrushi hata mechi moja ukiachia mbali UEFA.

Hamuoni wenzenu startimes,hamuoni atn,hamuoni tbc na kibaya zaidi hata tbc2 kunakorushwa uefa nyinyi hiyo hamna.

Nataka tu niwaulize,hivi sie wateja wenu wapenzi wa soka mnatuplease vipi? Mnatuletea ligi za holland zitusaidie nini ama mnafurahia tu kupokea 12500 kila mwezi tena kwa vitisho?

Kuweni makini kabla biashara yenu haijaanza kudoda make najua mteja hata mmoja wa kudumu katika biashara ni sawa na mfalme kwako.

Dawa ni kuacha kushabikia mipira ya uingereza,sidhani kama utadhurika!
 
beinsport unaweza kuipata kwenye king'amuzi chochote ilimladi kiwe na sehemu ya kuchomeka smartcard na sharti king'amuzi chako kiwe mpg4, unachofanya ni kununua smartcard yao na unatafuta dish la futi8 unacheki ligi ya mipira ya ulaya, au kama una decoda hizi za kisasa mfano xmaster 3g min hd, au qsat23 nazingine za aina hii unachofanya unatafuta dish la kawaida la futi6 c-band unalielekeza juu unapata belnsports na kuna namba furani hivi ukiziingiza unaipata bure kabisa hakuna kulipia hata shilingi moja huwezi amini, wanaonye mechi zote za epl, n.k.

Yaani jamaa nawakubali sana...nipo tanga hapa kuna king'amuzi kina chaneli hizo basi full mpira...huwez kuibiwa kirahis huko dstv....ila mkuu itabidi unipe somo fresh nitaku pm.
 
Bien sports its amazing.....sio EPL tu ligi zote za ulaya France,Italy, Portugal and soooooooo.....full burudani
 
kama unataka mpira lipa dstv laki na arobaini tu. wewe unataka mipira kwa elfu 12500

ingekuwa ni hvyo hata dstv nayo isingepanuka na kupatikana huku afrika ila walishusha kidogo ili wavutie namba ya watumiaji,alafu kama wanaona pesa hyo ni ndogo basi watafute namna ya kuingiza agape,tbc2 ama dtv ili kuaccomodate interests zao na so far hii ni kazi ya management wakae waumize vichwa wasort up jinsi ya kumeet mahitaji wakiona waache wafate ushauri wako poa
 
*MIKATABA INABANA WAUNGWANA SI KUSUDiO LAO*

hata kuingiza tbc2 na atn ama dtv mikataba inabana kiasi hicho ??? marketers fanyeni kazi yenu sidhani kama mikataba ya local chaneli kama hizo nilizozitaja hapo juu nazo ni vigumu kama dstv,kimsingi hapa siongelei dstv naongelea tbc2,atn,dtv tu mambo ya dstv ni juu ya mtu binafsi ila pia mkiona mwendelee na kujitetea eti mikataba inabana hata kwa hizi za ndani basi ni juu yenu sie manung'uniko yetu tumeweka kwenye box la customer care na sasa kazi kwenu to retain your buyers or to just show them the exit signal.
 
Hawa azam tv,channel za kihindi na kiarabu ndo mengi.
Hamna chanel ya kikristo,huo ubaguzi abadilike,tushamkimbia wengine

kwani kuna channel gani ya kiislamu pale/we ndo unaleta ubaguzi au kwa vile za kiarabu.mbona kuna za wazungu kama fox,e tv,natio geog,id kwa hy hz ni za kikristo.mi sijaona chanel ya dini hata moja kwa hili mi nakupinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom