Ajiunge ving'amuzi vingine maana tv zinakuja kwa kasi sana kuna hii tvE inaonekana itaongeza ushindani tv1 nasikia itakuwa ni full michezo chini ya investor mpya,nk nk unless kama hana target ya kuexpand anataka auze ving'amuzi tuAzam hawez kuwa juu kwasababu yuko kwenye king'amuzi chake tuu na pia ni wajuzi tuu, hivyo ni kos ku mshindanisha na ITV baba lao