Azam Tv kumbe haina watazamaji? !

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,121
10,233
Nimekuwa nikifuatilia utafiti wa Geopol wa robo ya mwisho ya 2016 kumbe hii Azam pamoja na hizi tambo zote haina viewers wengi! Basi majina makubwa kwenye media sio sababu ya kuongeza viewership au listenership! am amazed yale majina ya BBC yamefeli kuvuna watazamaji.
Zaidi ingia hapo Tanzania Media Measurement (KGMM) Report

TZ+TV+share.jpg
c9605140aa8841ddf6066018fb133892.gif
 
Hapo kwa TBC hata mimi nimepinga hata TV1 inawazidi mbali hao

Inaweza ikawa kweli mkuu, kwa sababu nje ya dar, watu wengi wanatumia zuku ambayo iliwafikia mapema zaidi. Kwa hiyo tv channels ambazo hazipo zuku kazi wanayo
 
Itv nouma kwenye habar wanajaa watazamaji
Tunaojielewa hutazama habari za TBC1, tukiwa na familia zetu.
ITV naonaga inatazamwa na watu wa vijiweni, bar na sehemu kama stand.
Na huko ITV naonaga watu wakitazama muhtasari tu.
Ukiisha muhtasari wanabadili Chanel au wanasepa kabisa, Teh! Teh! Teh!.
 
Tbc anaangaliwa sana na wale wenye vingamuzi vya bei ndogo ( ambao ni wengi Tz), na wale ambao hawanunuagi bundle za vigamuzi.
Huwezi kuwa umemunua kwa mfano family bundle ya dstv ukapoteza muda kuangalia tbc. Mara 100 ukaangalia tv za kenya
 
Uko sahihi. TBC ni "kimbilio la wakosefu"
 
Tunaojielewa hutazama habari za TBC1, tukiwa na familia zetu.
ITV naonaga inatazamwa na watu wa vijiweni, bar na sehemu kama stand.
Na huko ITV naonaga watu wakitazama muhtasari tu.
Ukiisha muhtasari wanabadili Chanel au wanasepa kabisa, Teh! Teh! Teh!.
Hahaa mnaojielewa
 
bila shaka wewe ni mfanyakazi wa TBC
 
Tunaojielewa hutazama habari za TBC1, tukiwa na familia zetu.
ITV naonaga inatazamwa na watu wa vijiweni, bar na sehemu kama stand.
Na huko ITV naonaga watu wakitazama muhtasari tu.
Ukiisha muhtasari wanabadili Chanel au wanasepa kabisa, Teh! Teh! Teh!.
TBC1 bado ipo?
 
Azam anapatikana katika king'amuzi chake tu hivyo hawezi kuwa sawa na vituo vinavyopatikana katika ving'amuzi zaidi ya kimoja.
 
Azam wangejipanua zaidi kwenye ving'amuzi vingine kama hao wengine , graph yao ingepanda pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom