Hongera sana Azam japo taarifa sio rasmi lakini visimbuzi vyao inaelezwa vitauzwa 30,000 tu, vitaanza kwa ofa ya miezi miwili bila malipo baada ya hapo utalipia kwa bei itakayotajwa hapo baadae lakini inasemwa sio zaidi ya 150,000 kwa mwezi!
Mkuu hicho kiasi ni kwa mwezi kweli au umekosea kuchapa? maana hata dstv itakuwa bei rahisi sasa