comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,456
- 11,517
Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida.
Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?
Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?