A hahaha yaani tunamezeshwa juzuu kwa fujo balaa bila kupenda mwanawaniiii
Hivi Charles Hillary,Ivona na Mumewe,mifano michache tu,hao wote ni majuba? Kuna watu muna udini sijapata kuona. Taasisi yoyote ambayo ina Waislam kuzidi Wakristo lazima isemwe ni Udini. UDOM,NSSF ni mifano michache. Lakini tasisi hizo hizo zikiwa na watu wengi wa dini nyingine,siyo UDINI. Kuna watu ni wachumia tumbo sana aisee. Kila siku kwa ubinafsi,Waislam wakiwa wengi taasisi yoyote,ni UDINI,Wakristo wakiwa wengi kwa mfano sasa huko NSSF siyo UDINI. Huu ubaguzi hautufikishi POPOTE.Doooh. Kwa hyo bila Juba hutoboi
Eboooooo maalshabibi hayo ndio yalianza hivyo hivyoKuna tamthilia ya nabii hamza ni noma unasikia eti wachinje hao wasioamini
Mara utasikia wasilimishe kwa nguvu
Duh, mbona mambo ya hovyo kwenye hicho king'amuzi.sasa si watoto watavaliwa na hayo maroho ya kipepo
Eboooooo maalshabibi hayo ndio yalianza hivyo hivyo
Hata kipindi kile radio iman ilianza hivyo hivyo mpaka kuja kueneza utengano wazi wazi na chuki za kidini mara sensa, mara mou, mara necta na TCRA wanayaona haya wananyamaza
Mimi nilivyoona hawako balanced kwenye programmes zao hasa upande wa Christian kuanzia Sunday mpaka sikukuu hawatambui wao ni busy tu na din ya mnyaaaaaz mung 24/7 nikasema isiwe tabu sababu hizi pesa za airtime kumbe natoa sadaka misikitini Hahahahahaaa nikawafyekelea mbali
Wala sio promo, mie nilikuwa napenda mbc 2, mbc action na mbc max kwa sasa hizo zote na zingine nzuri wameoondoa, halafu gharama bado ziko juu. Huu ni mwezi wa mwisho kulipa ntabaki na dstv tu.Kumbe wewe mtu wa star times uko kipromo zaidi pyeeeee
Uko na huduma ya extra viewer mkuu.je bei Kwa explorer ni Sawa na dekoda ya kawaida auGTV wangerudi wale jamaa DSTV wangeenda sawa sawa
Pia wakipatikana ESPN nao wazuri sana
Ila kwa kweli DSTV tena kwa explora Mimi naangalia extra kwa kwa kwa kutumia DStv explora decoder mbili haisumbii kbsa wala hautajutia kbsa kbsa
nilijua sijaelewa peke anguKama vile sijaelewa
Na ni kwanini gospel channels waliiweka kwenye category ya "other channels" wakati wao channels zao za kidini wamezitapakaza kila kona wala huna haja ya kusearch kabisa, Hapo ndio tatizo lilianzia.Wamefuta Emanuel TV , ungiingia kwenye sehemu wanaita other channels wamejaza channels za kiislamu kama zote
Na ni kwanini gospel channels waliiweka kwenye category ya "other channels" wakati wao channels zao za kidini wamezitapakaza kila kona wala huna haja ya kusearch kabisa, Hapo ndio tatizo lilianzia.
Azam ni wadini hadi kwenye michezo .
Uwanja mzima wa azamu mmejaa misikiti nenda chamazi