Ingia kwenye tovuti ya ofisi ya taifa ya takwimu na utaona.Mkuu mbona hapakuwa nakuulizwa dhehebu au dini sensa hiyo?.
Kama sijasahau nakumbuka waislam walidai sensa itakayotambua kigezo cha dini yamtu nandugu zangu wakristo waliipiga marufuku. Naomba ukumbuke vizuri ndugu yangu hio sensa yakuulizana dini haikuwa ndani ya nchi hi.
Walikuambia hivyo? Au unahisi?Wanarekebisha mitambo
Umelipia lini mkuu?mimii nimelipia jumatano ya juzi na hazipo!mmmmhhh mbona mimi nimelipia 28000 na chanel zipoo hizo MBC1,2,ACTION,FOX ZOTE,BET,EAFRICA,NATGEO, yani kwa ufupi chanel zotee zipoooo na naenjoy sana Movie kupitia FOX ENT na Mielekaa
Mkuu!samahani kama nimekuudhi!cheki TBC hiyo itakufaa.
Kwangu hazipoMbona zipo?
[/URL]Ingia kwenye tovuti ya ofisi ya taifa ya takwimu na utaona.
ukiona tabu nenda Wikipedia
Tatizo startimes kunakipindi wanapotea hewani gafra,kurudisha huduma inakuwa ngumu.Mimi startimes,Azam,dstv zote ninazo lakini kama Azam wakifanikiwa kuweka hizo local channel baada ya miezi 7 Kama walivoahidi watakuwa nawateja wengi.Dstv hiki nikifurushi kizuri tatizo lake kimeangalia watu wakati&juu kimaisha.Startimes kama Kunakipindi huwa unafulia kabisa inafaaaSafari channel bure..itv..tbc..eatv..channel tena
Kwa 40,000/= tu nakula EPL, La Liga, Ligue 1, Uefa Champions League, Uefa Europa League, Caf Champions League nikiwa sebuleni kwangu.Hamieni kwenye CANAL+View attachment 1120379View attachment 1120380
Tanzania (/ˌtænzəˈniːə/,[14][15][note 2]Swahili: [tanzaˈni.a]) officially the United Republic of Tanzania (Swahili: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), is a country in eastern Africa within the African Great Lakes region. It borders Uganda to the north; Kenya to the northeast; Comoro Islands at the Indian Ocean to the east; Mozambique and Malawi to the south; Zambia to the southwest; and Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west. Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, is in north-eastern Tanzania.[/URL]
Mkuu hii niwikipedia,nawamesema kabisa baada ya sensa ya 1667 kipengele cha dini kiliondolewa,naomba uniwekee source yahabari yako kiongozi, inawezekana unachosema upo sahihi lakini nilikuwa naomba nijiaminishe.
Population | |
---|---|
Area | |
Independence from the United Kingdom | |
United Republic of Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Swahili) | |
Flag Coat of arms | |
Motto: "Uhuru na Umoja" (Swahili) "Freedom and Unity" | |
Anthem: "Mungu ibariki Afrika" (English: "God Bless Africa") | |
Capital | Dodoma (de jure) |
Largest city | Dar es Salaam |
Official languages | None de jureb |
National language | Swahili[1] |
Regional language | Bantu |
Religion | (2010 estimate)[2]
|
Demonym(s) | Tanzanian |
Government | Unitary dominant-party presidentialsocialistconstitutional republic[3][4][5] |
• President | John Magufuli |
• Vice-President | Samia Suluhu |
• Prime Minister | Kassim Majaliwa |
• Speaker | Job Ndugai |
• Chief Justice | Ibrahim Hamis Juma |
Legislature | National Assembly |
• Tanganyika | 9 December 1961 |
• Unguja and Pemba | 10 December 1963 |
• Merger | 26 April 1964 |
• Current constitution | 25 April 1977 |
• Total | 947,303 km2(365,756 sq mi) (31st) |
• Water (%) | 6.4[6] |
• 2016 estimate | 55,572,201[7] (26th) |
• 2012 census | 44,928,923[8] |
• Density | 47.5/km2(123.0/sq mi) |
GDP (PPP) | 2019 estimate |
• Total | $186.060 billion |
• Per capita | $3,574[9] |
GDP (nominal) | 2019 estimate |
• Total | $61.032 billion |
• Per capita | $1,172[10] |
Gini (2012) | 37.8[11] medium |
HDI (2017) | low · 154th |
Currency | Tanzanian shilling(TZS) |
Time zone | UTC+3 (EAT) |
Driving side | left |
Calling code | +255[note 1] |
ISO 3166 code | TZ |
Internet TLD | .tz |
Bhasi tupo tofauti me Startimes kilaa saa kifurushi kipo..Pia huduma ya kubadili kifurushi baada ya Kujiunga ndo imefanya niipende zaidiTatizo startimes kunakipindi wanapotea hewani gafra,kurudisha huduma inakuwa ngumu.Mimi startimes,Azam,dstv zote ninazo lakini kama Azam wakifanikiwa kuweka hizo local channel baada ya miezi 7 Kama walivoahidi watakuwa nawateja wengi.Dstv hiki nikifurushi kizuri tatizo lake kimeangalia watu wakati&juu kimaisha.
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa
Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na
Udini unaimaliza azam
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe? Mwenzio kaja na vivid example umezikataa halafu unaleta ishu zako mwisho unajijibu mwenyewe, enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewarogaPamoja na mifano yako ya majina ya kikristo, bado azam wana udini sana. Sio kwenye tv tu, hata biashara zake nyingine. Bakhresa anaingiza imani yake kwenye biashara ambazo wateja wake sio wa din yake tu.
Ningemwelewa angeomba leseni ya kufungua biashara zinazofuata misingi ya dini ya kiislamu. Mwanzoni mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa azamfc. Nimeachana nayo kwa sababu ya elements za udini katika uendeshaji wake.
Kitu rahisi ambacho angeweza kufanya ni kuruhusu, kwa mfano ibada za kikristu siku ya jumapili kwa muda mfupi tu. Halafu akaweka sala/ibada ya ijumaa hata siku nzima ya ijumaa.
Kidogo sasa inapokuwa pasaka au krismasi unaona matangazo yenye ladha ya ukristu. Lakini mwanzo, hakuonyesha chochote katika siku hizo muhimu kwa wakristo. Ni muhimu huyu mzee akaangalia hisia za wateja wake kwa ujumla.
Ushauri wa bure tu.
Mkuu hamia Ting,kwani unashikiwa bunduki kutizama?Acha nongwa kuna visumbuzi zaidi ya 10 nchi hiiWamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa
Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na
Udini unaimaliza azam
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa
Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na
Udini unaimaliza azam
Mkuu kwanza shukrani, pili niwekee link niende mwenyewe nikasome.Luhanyula naimani utaelimisha na watu wengine wabishi
Nenda tu Wikipedia andika Tanzania basiMkuu kwanza shukrani, pili niwekee link niende mwenyewe nikasome.