Azam Tv inapoteza mvuto

Mkuu mbona hapakuwa nakuulizwa dhehebu au dini sensa hiyo?.

Kama sijasahau nakumbuka waislam walidai sensa itakayotambua kigezo cha dini yamtu nandugu zangu wakristo waliipiga marufuku. Naomba ukumbuke vizuri ndugu yangu hio sensa yakuulizana dini haikuwa ndani ya nchi hi.
Ingia kwenye tovuti ya ofisi ya taifa ya takwimu na utaona.
ukiona tabu nenda Wikipedia
 
mmmmhhh mbona mimi nimelipia 28000 na chanel zipoo hizo MBC1,2,ACTION,FOX ZOTE,BET,EAFRICA,NATGEO, yani kwa ufupi chanel zotee zipoooo na naenjoy sana Movie kupitia FOX ENT na Mielekaa
Umelipia lini mkuu?mimii nimelipia jumatano ya juzi na hazipo!
 
Startimes kama Kunakipindi huwa unafulia kabisa inafaaa Safari channel bure..itv..tbc..eatv..channel tena
 
Startimes kama Kunakipindi huwa unafulia kabisa inafaaa Safari channel bure..itv..tbc..eatv..channel tena
Tatizo startimes kunakipindi wanapotea hewani gafra,kurudisha huduma inakuwa ngumu.Mimi startimes,Azam,dstv zote ninazo lakini kama Azam wakifanikiwa kuweka hizo local channel baada ya miezi 7 Kama walivoahidi watakuwa nawateja wengi.Dstv hiki nikifurushi kizuri tatizo lake kimeangalia watu wakati&juu kimaisha.
 
Kweli Azam wanaboa hata chaneli iliyokuwa imebaki ya burudani ya Magic One haionyeshi siku hizi.Hapo kwenye Int news inaonekana Aljazeera
 
Mimi nakitumia kama sehemu ya makumbusho,nataka nikipata muda nikipachike vitairi wanangu waendeshe kama gari,mwaka wa tatu huu nshachoka utoto wao nimenunua samsung yenye king'amuzi ndani basi maisha burdani labda wanipate kwenye maandazi yao,maana hawakwepeki hawa.
1559906242909.jpeg
 
[/URL]

Mkuu hii niwikipedia,nawamesema kabisa baada ya sensa ya 1667 kipengele cha dini kiliondolewa,naomba uniwekee source yahabari yako kiongozi, inawezekana unachosema upo sahihi lakini nilikuwa naomba nijiaminishe.
Tanzania (/ˌtænzəˈniːə/,[14][15][note 2]Swahili: [tanzaˈni.a]) officially the United Republic of Tanzania (Swahili: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), is a country in eastern Africa within the African Great Lakes region. It borders Uganda to the north; Kenya to the northeast; Comoro Islands at the Indian Ocean to the east; Mozambique and Malawi to the south; Zambia to the southwest; and Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west. Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, is in north-eastern Tanzania.

Population
Area
Independence from the United Kingdom
United Republic of Tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Swahili)
Flag of Tanzania
Flag
{{{coat_alt}}}
Coat of arms
Motto: "Uhuru na Umoja" (Swahili)

"Freedom and Unity"
Anthem: "Mungu ibariki Afrika"

(English: "God Bless Africa")

Location of Tanzania
Location of Tanzania
CapitalDodoma (de jure)
Largest cityDar es Salaam
Official languagesNone de jureb
National languageSwahili[1]
Regional languageBantu
Religion
(2010 estimate)[2]
Demonym(s)Tanzanian
GovernmentUnitary dominant-party presidentialsocialistconstitutional republic[3][4][5]
PresidentJohn Magufuli
Vice-PresidentSamia Suluhu
Prime MinisterKassim Majaliwa
SpeakerJob Ndugai
Chief JusticeIbrahim Hamis Juma
LegislatureNational Assembly
Tanganyika9 December 1961
Unguja and Pemba10 December 1963
• Merger26 April 1964
• Current constitution25 April 1977
• Total947,303 km2(365,756 sq mi) (31st)
• Water (%)6.4[6]
• 2016 estimate55,572,201[7] (26th)
• 2012 census44,928,923[8]
• Density47.5/km2(123.0/sq mi)
GDP (PPP)2019 estimate
• Total$186.060 billion
• Per capita$3,574[9]
GDP (nominal)2019 estimate
• Total$61.032 billion
• Per capita$1,172[10]
Gini (2012)37.8[11]

medium
HDI (2017)
Increase
0.538[12]

low · 154th
CurrencyTanzanian shilling(TZS)
Time zoneUTC+3 (EAT)
Driving sideleft
Calling code+255[note 1]
ISO 3166 codeTZ
Internet TLD.tz
  1. Revised to $41.33 billion[13]
  2. Swahili and English are de factoofficial languages
 
Tatizo startimes kunakipindi wanapotea hewani gafra,kurudisha huduma inakuwa ngumu.Mimi startimes,Azam,dstv zote ninazo lakini kama Azam wakifanikiwa kuweka hizo local channel baada ya miezi 7 Kama walivoahidi watakuwa nawateja wengi.Dstv hiki nikifurushi kizuri tatizo lake kimeangalia watu wakati&juu kimaisha.
Bhasi tupo tofauti me Startimes kilaa saa kifurushi kipo..Pia huduma ya kubadili kifurushi baada ya Kujiunga ndo imefanya niipende zaidi
 
Chombo cha biashara au biashara yoyote ukianza kuipa mrengo wa imani moja/imani fulani, wewe mmiliki ni kama umekinywesha sumu chombo chako kwa mkono wako mwenyewe, tegemea pia sumu hiyo kukuua mwenyewe.
Hovyo kbs Azam saa hii.
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa


Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na

Udini unaimaliza azam
 
Pamoja na mifano yako ya majina ya kikristo, bado azam wana udini sana. Sio kwenye tv tu, hata biashara zake nyingine. Bakhresa anaingiza imani yake kwenye biashara ambazo wateja wake sio wa din yake tu.
Ningemwelewa angeomba leseni ya kufungua biashara zinazofuata misingi ya dini ya kiislamu. Mwanzoni mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa azamfc. Nimeachana nayo kwa sababu ya elements za udini katika uendeshaji wake.
Kitu rahisi ambacho angeweza kufanya ni kuruhusu, kwa mfano ibada za kikristu siku ya jumapili kwa muda mfupi tu. Halafu akaweka sala/ibada ya ijumaa hata siku nzima ya ijumaa.
Kidogo sasa inapokuwa pasaka au krismasi unaona matangazo yenye ladha ya ukristu. Lakini mwanzo, hakuonyesha chochote katika siku hizo muhimu kwa wakristo. Ni muhimu huyu mzee akaangalia hisia za wateja wake kwa ujumla.

Ushauri wa bure tu.
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe? Mwenzio kaja na vivid example umezikataa halafu unaleta ishu zako mwisho unajijibu mwenyewe, enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga
[/QUOTE]
Kwa hiyo mimi nikiweka majina ya kiislamu/kiarabu ndio itakuwa vivid example? Idiot!
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom