Azam Tv inapoteza mvuto

Hi
Hivi hii huduma ya kebo mikoani inapatkana vipi.? Navipi malipo yake
Cable mikoani inapatikana kwa kwenda kwa mawakala maalum walioteuliwa kusambaza huduma ya cable, na gharama yake kwa mwezi nishilingi 7/10K, kwenye kuunganisha nimaelewano yako wewe na mawakala wanaotoa huduma hiyo ya cable.
 
Shukrani ngoja nianze kuuliza michakato yake kwa huku nilipo
 
Hivi nyie wagalatia kwanini waongo hivyo? Sensa ya 2012 ilikuwa haina kipengele cha dini ndio maana waislam wakaigomea sasa hizo takwimu umepata wapi?
Kwa hiyo unataka kuniambia Tanzania Waislamu ndiyo wengi?
Huwezi kugomea sensa hata siku moja na sensa ilifanyika mimi binafsi niliulizwa dini yangu ni ipi na uhuru wa kusema huna dini ulikuwepo
 
Huduma ya kebo ipo Vizur kweli Chanel zote za local unapata Chanel za nje zimo Yaani full burudani
Yaan unapata bila tatizo kbs tena kwa gharama ya elfu 8 tu kwa mwezi.
 
Asante

Mm ni mbwa

Ila udini sijausema kwenye wafanyakazi

Ungejaribu kuniuliza , matusi hayafai ndugu

Ubarikuwe na pendo la bwana wetu Yesu kristo.
Nenda zako tatizo mnajihisi sana nyie kipindi filamu za naijeria zinaingia bongo na kurushwa na kituo cha ITV mbona waislam hatukulalamika na zile sinema zote zinaanzia kwa waganga wa kienyeji zinaishia kanisani
 
Tanzania local channels ni muhimu hauangalii Tv peke yako unafamilia n.k lazima watahitaji channels za nyumbani.

DSTV mkuu bei yake ya vifurushi ni ghali mno yani kifurushi cha bei ya chini 19,000 kwa wengine ndicho cha bei ya juu
 
Nenda zako tatizo mnajihisi sana nyie kipindi filamu za naijeria zinaingia bongo na kurushwa na kituo cha ITV mbona waislam hatukulalamika na zile sinema zote zinaanzia kwa waganga wa kienyeji zinaishia kanisani
Asante
 
Kwa hiyo unataka kuniambia Tanzania Waislamu ndiyo wengi?
Huwezi kugomea sensa hata siku moja na sensa ilifanyika mimi binafsi niliulizwa dini yangu ni ipi na uhuru wa kusema huna dini ulikuwepo
Acha uongo tuligomea na kwa taarifa yako sio sisi tu tuliogoma hadi wafanyakazi waliokuwa wanahesabu watu waligoma kwani wakikuta nyumba ya muislam ambae hataki kuhesabiwa walikuwa wanafueahi wanapika data
 
Azam hawajawahi kuanzisha biashara ikafa.. Wako vizuri kwenye marketing. Sahau!
Biashara ya chostik zile tulizokuwa tunazililia kuzifata kariakoo enzi hizo haijafa?

Nadhani wewe ni mzaliwa wa mikoani kuna vitu kibao tu bakhresa alianzisha miaka hiyo na vimekufa.
Kwenye mawasiliano akiweka udini inakufa kifo kibaya hatoweza kuendesha kwa hasara kama Zantel
 
Yaani siku hizi DSTV ni chee kuliko wa nyumbani?
Kwa anayehitaji King'amuzi chochote au huduma ya ufundi kwa Dar es Salaam

Bei zetu za ving'amuzi
DStv 99,000 + 20000 ufundi
Startimes(dish) 140,000
Azam 145,000

Simu: 0764453848
 
Ingia kwenye tovuti ya ofisi ya taifa ya takwimu na utaona.
ukiona tabu nenda Wikipedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…