NASA waliondoa wajinga kweli yaani...Mimi waliniudhi walivyoondoa channel ya FightSport wakati ndo ilinishawishi kununua king'amuzi
Huko nako hovyo tuHamia DSTV. Japo Bei zake ujipange sio Kama huko ulipo. Beberu hanaga shobo
Wamegundua wabongo mnaabudu Simba na Yanga , sasa hivi hizo channel unazipata baada ya kulipa kifurushi cha elfu 20 na kuendeleaHata mimi kile cha 18 kimekua. 13 lakini azam sports 1&2 Hamna. Sawa hivi bora niangalie channel ya mapishi tu.
Watoto wa mama ban....Mitano tena...
Sasa wewe katika username zote ulikosa hadi ujiite BIKINI.. Kuwa makin kuna jela bwana mdogo utakaoteshwa sabunWatoto wa mama ban....
Kama cha kuandika huna si ufiche ujinga wako bwana mdogo.,unajiita play boy utaweza maisha mnaboa vilaza wa humu.
Tatizo vitoto mmejaa humu ushabiki tu hamtaki kupambana mnadhani maisha kula kwa shemeji na kulala,na kuchati chati tu ovyo!! Pumbaku sana.Sasa wewe katika username zote ulikosa hadi ujiite BIKINI.. Kuwa makin kuna jela bwana mdogo utakaoteshwa sabun
Yaani niliumia[emoji20]NASA waliondoa wajinga kweli yaani...
49000Mkuu hamia dstv ulipe 44,000 utavipata hivyo unavyovitaka[emoji4]
Kaka kiukweli Azam hawako serious na biashara yao... Nakumbuka hivi karibun waliwatangazia umma kua kuna ving'amuzi vyao vipya vya antenna... Na vifurushi vyao wakavipa majina ya mbuga za wanyama.... Kiukweli mie nilikua interested na hivi ving'amuzi kwakua naishi nyumba ya kupanga siku hitaji kuwa na madishi mengi maan tayari ninalo la dstv... Wakadai kua hivi ving'amuzi vitapatikana kuanzia trh 1.12.2020, siku imefika nimewahi zangu pale buguruni bakharesa tukiwa na wadau wengine... Wanatupa maelezo kua hivi ving'amuzi havipo hadi katikati ya mwezi December na wengine wanatuambia hadi kuanzia tareh 20...Hawa jamaa naona wameanza usanii fulani,
Mimi ni mteja wa Azam TV na nimekuwa nikilipia kifurushi cha TZS 23,000. Huwa natizama zaidi Channel moja tu INVESTIGATION DISCOVERY. Sasa hapa juzi bei imeshuka kwenda TZS. 20,000.Nimelipa lakini nimeshindwa kuipata hiyo channel, kabla ya kukitekeleza king'amuzi chao,nikataka nipate maelezo toka kwao.
Nimepiga simu kuulizia kama hiyo channel ipo aliyepokea simu kanieleza ndiyo ipo kifurushi cha TZS20000 na akaniambia subiri mpaka simu ilipokatika. Baada ya hapo simu zao either zinadai network bussy au inaishia pale Foe English place One for Kiswahili place Two. Ukipiga usiku wa saa 5 inakueleza kuwa muda wa kazi ni mpaka saa nne usiku.
Nimeandika hapa baada ya kuona sipati majibu kwani nimeandika na Email sijajibiwa ingawa siku nyingine email zinajibiwa kwa haraka.
Call centre yao ni pumbafff kabisa, nimehangaika kupiga simu toka alhamisi Nov 26 inaishia Kuniambia 'for English press1, kwa kiswahili bonyeza 2'
Ukibonyeza bado tangazo linajirudia hvyo hvyo, na wakati mwngne namba unaambiwa haipatikani
Nimeshatuma mpaka email lakn wapi, hakuna chochote,,, upuuzi tu
Mnakera sana customer service Azam