Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!?
emoji26.png
emoji1745.png
Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio

Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!? Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha.
Hivi kwanini WAGALATIA wengi wanakuwa VIPOFU wakati ugali ukiwekwa mezani wanauona?

We nani alikwambia AZAM TV ni mali ya mgalatia?
Au TV Tumaini ni mali ya ustadh?

Unalalamika kuhusu AZAM TV SISI waislamu tuseme nini kuhusu AGAPE TV , TV TUMAINI Na hizo Channel zote za waimba kwaya kila siku?

Umeshawahi kuona hizo CHANNEL ZA MAKANISA zinatangaza chochote kinachohusu Dini zingine?

We unajua kiasi gani waislamu wanapata tabu kuona mnatangaza mungu kafa? Au kapigwa mpk analilia maji ya kunywa?

Yaani we acha kabisa kujipofua. Kaa kimya.
Ukiona AZAM Haikupendezi Tazama AGAPE TV huenda ukajifunza kile kiingereza cha kufokafoka.

Asante sana
 
jitu lilalamika utadhani tv nyingine hakana lakini sawa masikini haishi vituko
 
Nakupa asainimenti!

1. Ukimuona kiongozi wa Kikristo yupo mkutanoni utamskia akisalimia kwa dini zote sijui Asalaam Aleyikum, Tumsifu Yesu Kristu! Bwana Yesu Asifiwe, Mwana Kondoo Ameshinda nk.

LAKINI Kamwe, hautamskia kiongozi wa Kiislam akisalimia kwa dini mbalimbali. Yeye atasema tu, Asalaam Aleykum!

2. Nenda taasis inayomilikiwa na Roman Catholic, mfano shule, hospitali nk utakuta wafanyakazi kutoka dini mbalimbali mpaka Waislamu ni wengi tu
LAKINI Mkristo nenda ukaombe kazi katika taasis ya Kiislamu uone kama utapata kazi kirahisi!

Inawezekana katika Quran inakatazwa kabisa kufungamana na Ukristo!

Hivyo, tusikate tamaa, ipo siku Azam watabadilika mana hizi dini zimeletwa tu huku Afrika!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sio lazima kiongoz wa kiislam kusalimia kwa kikristo kama ambavyo sio lazima kwa kiongoz wa kikristo kusalimia kwa kiislam.

Nenda aman bank wakristo wapo. Azam media Barak mpenja ni dini gani?

Chuo cha MUM wakristo ni weng.

#Stop
#Being
#Jealous
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
usipo angalia unawapunguzia nn?kwanza kampuni inazidi kutanuka kenye burundi rwanda uganda kongo malawi ss masikini hatuishi vituko
 
Back
Top Bottom