Ferruccio Lamborghini JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,667 Reaction score 2,619 Sep 21, 2021 #41 Wajinga ndio waliwao
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,220 Sep 21, 2021 #42 Kambaku said: Wananzaga hivyo hivyo ila wape muda utajionea tu. Click to expand... Hii itakuwa kama Halotel,mwanzoni walianza na ma GB ya kumwaga,walipoona tumekuwa wengi GB zikawa zile zile kwa speed ya kobe,wiki inaisha GB bado ziko kibao,halafu wanasubiria imebakia siku 1 wwnaongeza speed ili kukuhamasisha...
Kambaku said: Wananzaga hivyo hivyo ila wape muda utajionea tu. Click to expand... Hii itakuwa kama Halotel,mwanzoni walianza na ma GB ya kumwaga,walipoona tumekuwa wengi GB zikawa zile zile kwa speed ya kobe,wiki inaisha GB bado ziko kibao,halafu wanasubiria imebakia siku 1 wwnaongeza speed ili kukuhamasisha...
Dead Man JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 709 Reaction score 828 Sep 21, 2021 #43 safuher said: Ni jambo zuri kwa azam kutokuuza vitu vya haramu.. Click to expand... Tuombe msamaha mkuu Pombe ni haramu?
safuher said: Ni jambo zuri kwa azam kutokuuza vitu vya haramu.. Click to expand... Tuombe msamaha mkuu Pombe ni haramu?
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 8,593 Reaction score 12,338 Sep 21, 2021 #44 Hiyo ni mgeni siku ya kwanza!
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 12,314 Reaction score 18,148 Sep 21, 2021 #45 Dead Man said: Tuombe msamaha mkuu Pombe ni haramu? Click to expand... Kwa mujibu wa imani yangu siwezi kukuomba msamaha
Dead Man said: Tuombe msamaha mkuu Pombe ni haramu? Click to expand... Kwa mujibu wa imani yangu siwezi kukuomba msamaha
Dead Man JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 709 Reaction score 828 Sep 21, 2021 #46 safuher said: Kwa mujibu wa imani yangu siwezi kukuomba msamaha Click to expand... Ukifa hatutamwaga pombe kaburini kwako kama ishara ya upendo.
safuher said: Kwa mujibu wa imani yangu siwezi kukuomba msamaha Click to expand... Ukifa hatutamwaga pombe kaburini kwako kama ishara ya upendo.
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 4,648 Reaction score 8,348 Sep 21, 2021 #47 Mwana umecopy Joke tweet ya whymycatissad alafu unaileta hapa kama Taarifa ya kweli. Shame on you
hata mimi JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 1,356 Reaction score 1,447 Sep 21, 2021 #48 Umetushtua mwana viroho juu juu kidogo nisafiri kesho kuifuata laini ya azam Dar... asante watu kutoka jamhuri ya Twitter kwa kutuweka sawa
Umetushtua mwana viroho juu juu kidogo nisafiri kesho kuifuata laini ya azam Dar... asante watu kutoka jamhuri ya Twitter kwa kutuweka sawa
D David Goliath JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 949 Reaction score 1,893 Sep 22, 2021 #49 Upepo wa Pesa said: Wanaanzaga hivyo hivyo alafu badae wanageuka kama kinyonga. Tuulize sisi watumiaji wa kwanza wa Halotel nini kilitokea mwaka 2015 halotel ilipo anza. Click to expand... 500 unapewa 1GB na midakika wiki nzima baadae wakatugeukia
Upepo wa Pesa said: Wanaanzaga hivyo hivyo alafu badae wanageuka kama kinyonga. Tuulize sisi watumiaji wa kwanza wa Halotel nini kilitokea mwaka 2015 halotel ilipo anza. Click to expand... 500 unapewa 1GB na midakika wiki nzima baadae wakatugeukia
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,217 Reaction score 48,774 Sep 22, 2021 #50 Jiwe angewafungia, maana jiwe hataki mshindani Waulize fast jet walichofanyiwa
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,320 Sep 22, 2021 #51 Promotion..., na hizi tozo ni muda tu watakaribiana na wenzao..., cha muhimu ni kama quality ya hizo Bundle ni Nzuri
Promotion..., na hizi tozo ni muda tu watakaribiana na wenzao..., cha muhimu ni kama quality ya hizo Bundle ni Nzuri
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,794 Reaction score 2,019 Sep 22, 2021 #52 Majinun kabisa
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,342 Sep 22, 2021 #53 aka2030 said: View attachment 1947239View attachment 1947240 Click to expand... unacopy huko bila kujua ukweli halafu unaleta na unabisha ,hujielewi
aka2030 said: View attachment 1947239View attachment 1947240 Click to expand... unacopy huko bila kujua ukweli halafu unaleta na unabisha ,hujielewi
Meja Jenerali Isamuhyo JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 3,140 Reaction score 9,703 Sep 22, 2021 #54 Yaani hiyo sms ya vifurushi ni editing ila wabongo hawajang'amua kuna sehemu kuna shida katika vichwa vyetu😂😂
Yaani hiyo sms ya vifurushi ni editing ila wabongo hawajang'amua kuna sehemu kuna shida katika vichwa vyetu😂😂