Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,552
Nimelipa kifurushi na huduma nimekosa tena kibaya zaidi najaribu kupiga simu naambiwa eti wakati huu wa mfungo huduma zinaanza saa 2-12:30, sasa mnaponitengenezea matatizo nyinyi wenyewe wakati sidaiwi na kifurushi kipya nimenunu juzi tu sasa leo mnaamua kunipa zile local tu wakati za kulipa mkiwa mmezitia lock mnataka mie mteja wenu niwaeleweje, na mie mda Wangu wa kurudi nyumbani ndo huu inamaana sitaweza kuwapata kwenye line mpaka mmalize mfungo?
Na kwanini huduma kama hii kweli mnaifunga wakati ni muda bado maema mno, kwanini walau msiwaweke hata watu 2 kwa ajiri ya kudeal na kesi za dharura kama langu ?
Naumia kwasababu muda wa mchana na mie nashinda kibaruani kama nyie na nikirudi ili tusaidiane nyie mnasema mda umeisha, sasa nisiende kibaruani ili tu nishinde nyumbani kwa ajiri ya jambo dogo kiasi hiki? haya bwana!