Azam Orange Juice | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Azam Orange Juice

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MAMA POROJO, Jan 31, 2012.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Nimenunua juice ya machungwa ya Azam leo jioni maeneo ya Tegeta, nimefika nyumbani ilipofunguliwa ndani nimekuta juice ya ajabu. Inaelekea huyu jamaa wa Tegeta anakusanya maboxi yaliyotumika ya azam na kukamua machungwa na kufunga, juu ya boxi inaonyesha tarehe ya kufunga ilikuwa ni 10/12/2011 na tarehe ya mwisho kutumika ni tarehe 10/12/2012.

  Nimejifunza uangalifu wa hali ya juu unahitajika ninaponunua vyakula, juice na maji.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  mkuu ungeipeleka kwenye ofisi zao ili wakupe maelezo mazuri kwanini haieleweki juisi yao..
   
 3. Kelema

  Kelema Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kwa yaliyokupata. Siku hizi, kadri hali za maisha zinavyokuwa ngumu, ndivyo watu wasio waaminifu wanavyozidi kugundua mbinu za utapeli. Hata maji ya kunywa yanachakachuliwa. Inabidi kuomba Mungu sana, pia tuwe makini tunaponunua bidhaa za chakula. Halafu bora ukawapelekea watu wa kiwanda cha Azam, wakajionea. Shukuru Mungu kama haikukuathiri. Huenda juice ni safi kabisa, tatizo ni jina. Ameona atumie mabox ya Azam ili viuzike.
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  One thing, sinunui wala sili anything outside my house, simple. Hata maji natembea nayo
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Maji ya mabobo ndio yanachakachuliwa kupita maelezo
   
 6. Kelema

  Kelema Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbuka, tunaishi katika siku za mwisho mwisho wa mfumo wa maisha tulionao 2Timotheo3:1-5. Ukiweza kuzitambua nyakati hizi, utakuwa na amani. Hutajiuliza sana maswali mengi, kwa kuwa utakuwa unaelewa nini kinachoendelea.

  Ishara nyingi ambazo Yesu kristo alizitabiri kuwa zitatokea katika siku za mwisho, tumezishuhudia. Kibaya ni kuwa, wengi wetu tumezaliwa NDANI ya hizi siku za mwisho, ambazo kulingana na unabii wa Biblia, zilianza rasmi mwaka 1914.

  Hivyo, kwa wengi inakuwa vigumu kuzitofautisha siku. Wanaona ni kawaida tu. Lakini kwa anayependa kuchunguza unabii, nyakati hizi ni tofauti saaanaaaaaa na nyakati za kabla ya 1914. Zinatimiza unabii kweli kweli.

  Pia, unaweza kuona kuwa ni muda mrefu sana umesikia juu ya siku za mwisho. Kwa sbb, kwa ukuu wa Mungu, miaka 1,000 ni sawa na siku moja tu kwake. Jipime, katika miaka 1,ooo umeishi masaa mangapi kwa maoni ya Mungu??? Hata siku moja hujamaliza, wala mimi sijaimaliza.
  Tafakari.
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Siyo rahisi namna hiyo!
   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  wasabato watia timu JF. karibu William Miller
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hadithi zako zinahusiana vipi na topic ya mdau hapo juu?
   
 10. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  You need to be very carefully especially kwenye vitu vya kula/kunywa. Ni vizuri ununue kwenye maduka yanayoeleweka na sio kwa wapita njia ambao hawana anwani na wanaweza kukuuzi uchafu wowote kwani kwao wanachotaka ni pesa tu. ushauri wa bure tuache kununua vitu vinavyotembezwa na wamachinga
   
Loading...