Ukitaka Ubaya...
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 498
- 140
Anategemea kupata audience wengi sana nationwide, kwahiyo 2000 times 100,000 kwa mfano ni nyingi kuliko 40000 times 2000. just example..
Kisimbus chenyewe ni 48000, ila ukinunua seti nzima pamoja na dishi lake ni 90000, malipo kwa mwezi ni tsh 2000 tuu!!
kiwe nafuu na quality itakuwa poa
nafikiri itakuwa mbaka mikoani maana wanatumia dishi
Keyser Söze;6957354 said:Hawawezi kuonyesha epl,na kama wamesema ni marketing tu. Hiyo haki wanayo supersport, may be ile mechi moja tu ya jumamosi ambayo kuna kipind star tv walikuwa wanaonyesha
Hivi hawa Azam ile issue ya kuingiza mabasi mapya 100 ya kwenda mikoani ilifia wapi?
Kwanini DSTV waweze halafu AZAM wasiweze..??
sasa wewe kama multchoice wanaomyesha epl kupitia ss3 kwa nini azam media ashindwe??? nikufanya tu makubaliano na supersport.
Bakheresa hana hela ya kununua EPL! Epl ina wenyewe na wenyewe ni DSTV
jamani eleweni kuwa uzinduzi bado haujafanyika bado.na kama hamjui bei ya king'amuzi mnyamaze.mi nipo azam tv head office na nafaham bei ya king'amuzi vizuri tu na malipo kwa mwezi sio buku 2 jamani.embu subirini vitoke alafu ndio muongee.customer service agent wa azam tv.