Mungu wangu kwangu itakuwa kama kituo cha runinga kwa kuwa na madish mengi nina Zuku,DStv na sasa Azam,jamani kwanini isiwe kama kampuni za simu tuwe tunabadili smart card tu ,hadi mapaa yanaanguka kwa kuzidiwa na madishi na sebuleni hadi meza zinaanguka kwa kubeba ving'amusi.Mapaa ya nyumba yamekuwa kama majumba ya mazungu wa unga kwa kuwa na madish mengi.Naomba Azam asije kutujazia channel za Peace TV na za Yemeni au Mecca
Nauza startimes changu kabisa !bei si yangu bali ya mnunuzi unataja bei nakupa sijadiliani na wewe!Huenda Digitek,Continental,Star Times wakakosa kabisa wateja
Nauza startimes changu kabisa !bei si yangu bali ya mnunuzi unataja bei nakupa sijadiliani na wewe!
Lete pesa!gharama za usafiri juu yako niko zenji!Ha ha ha ha ha, unachukua elfu mbili mkuu?
dstv ni kila kitu.hawawezi kuonyesha epl wakionyesha mimi nakufa
Wachina wa startimes waliozoeeeee mbelekooooo kiama kitawafikaaaaaaaaAzam bhana huwa ananichekesha sana,kaja kuchafua hali ya hewa sasa wazee wanaobebwa na tcra watabebwa na nan???
mmmhh ngoja tusubiri ila kama nina mashaka na hiyo malipo ya mwezi
Kisimbus chenyewe ni 48000, ila ukinunua seti nzima pamoja na dishi lake ni 90000, malipo kwa mwezi ni tsh 2000 tuu!!
dstv ni kila kitu.hawawezi kuonyesha epl wakionyesha mimi nakufa
Kwanini DSTV waweze halafu AZAM wasiweze..??
Anategemea kupata audience wengi sana nationwide, kwahiyo 2000 times 100,000 kwa mfano ni nyingi kuliko 40000 times 2000. just example..wacwac ni kwenye malipo ya mwezi mkuu! waonyeshe EPL kwa Tsh 2000 kwa mwezi?
duh,tz hii hii niijuao?iliyokuwepo gtv?haya,kama kweli jambo la kheri hiliKisimbus chenyewe ni 48000, ila ukinunua seti nzima pamoja na dishi lake ni 90000, malipo kwa mwezi ni tsh 2000 tuu!!
hakianani,wa-tz tuna hali mbaya!!pia,nakumbuka mliposhauri Dr Liki abdalah awe kocha wa Stars miaka kadhaa iliyopita!Natamani mwenye Azam Media awe rais