Kwa taarifa nlizopata ni kwamba azam media group watazindua king'amuz chao cha azam tv cku ya eid,, kina
Chaneli 80 za kitaifa na kimataifa,,
Ligi kuu tanzania itaoneshwa na pia EPL na LA LIGA!! Kaeni mkao wa kula wadau
We acha uongo utakuja umbuke EPL sio ligi ya ktoto lesen yake kuipata ni ngum mno..we unadhan zuku na startime,continental,digitek hawapendi kuonesha?..na hyo elfu mbili kwa mwz haiwezekan! labda km sat ni yao..
Je kitacover mpaka mikoani au ni dsm tu? Niko ludewa porini sana nahitaji kujua kwani nilitaka nifunge dstv msimu huu.
Mungu wangu kwangu itakuwa kama kituo cha runinga kwa kuwa na madish mengi nina Zuku,DStv na sasa Azam,jamani kwanini isiwe kama kampuni za simu tuwe tunabadili smart card tu ,hadi mapaa yanaanguka kwa kuzidiwa na madishi na sebuleni hadi meza zinaanguka kwa kubeba ving'amusi.Mapaa ya nyumba yamekuwa kama majumba ya mazungu wa unga kwa kuwa na madish mengi.Naomba Azam asije kutujazia channel za Peace TV na za Yemeni au MeccaKwa taarifa nlizopata ni kwamba azam media group watazindua king'amuz chao cha azam tv cku ya eid,, kina
Chaneli 80 za kitaifa na kimataifa,,
Ligi kuu tanzania itaoneshwa na pia EPL na LA LIGA!! Kaeni mkao wa kula wadau
Kisimbus chenyewe ni 48000, ila ukinunua seti nzima pamoja na dishi lake ni 90000, malipo kwa mwezi ni tsh 2000 tuu!!
kiwe nafuu na quality itakuwa poa
Kisimbus chenyewe ni 48000, ila ukinunua seti nzima pamoja na dishi lake ni 90000, malipo kwa mwezi ni tsh 2000 tuu!!
Wasiwasi wangu isije kikajaa channels za Mecca,halafu wakati wa mwezi wa Ramadhani nacho kisije kiwe kinafunga
dstv ni kila kitu.hawawezi kuonyesha epl wakionyesha mimi nakufa
Kwa style hii Azam atachukua pesa zetu sana tu, wateja wa Startimes atawachukua karibia wote!
Kama hujafa je!!!!!😕